Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #41
mkatae mkubali huo ni ufoolish..
Eshy mushi kama nakuwa foolish KwaZulu kuexpress my love kwa yule ninayemfeel well and good. Lazima mheshimu maamuzi ya wenzenu hata kama yanawaumiza. Kwanini watanzania hampendi utofauti?? Bila kutofautiana hakuna maendeleo na jamii isiyo na tofauti haijawahi kutokea (as per Carl max). Huoni sasa dai anajitahidi coz anajua kuna wapinzani, kiba nae the same....kutofautiana ni kawaida




