Davido atambua mchango wa Tanzania


Wewe mpuuzi hujui chochote huyo kiba angekuwa na mashabiki angekuwa anafanya mambo yake bila kupitia mgongo wa diamond, anajua kwa sasa music wa Bongo awezi kufanya bila kutumia jina la Dai ndio maana hautomskia ila mpaka awe anawekwa pamoja show na Diamond au tunzo.

Kuhusu mashabiki ata wewe unaujua ukweli nani mwenye washabiki wa kweli na wengi. Just anzia ndani mpaka nje ya nchi, au pitia YouTube uone video ya kiba yenye miezi 8 inazidiwa viewers na video ya Diamond yenye wiki moja. Hao haters wa Diamond wanapogeuka voters wa kiba usichelee ona sasa leo wamekimbilia kwa Davido.
 
Last edited by a moderator:
matumbo as i said ongea yote. ila vote ni kwa davido take or leave it.
 
Last edited by a moderator:
Vote vote
 

Attachments

  • 1434817961067.jpg
    19.6 KB · Views: 254
Davido kanisaidia kuchamba wazee wa kukurupuka hahahaaaa
Mashavu yamewashuka hawana ata hamu
 
ha ha ha stress mbaya sana,kupigwa miti na kuachwa kila siku lazma upagawe tu..

achana nae huyo who.re ajuza!

Hahahahahah nishaampotezea sasa akaendelee na business stress zitakuwa zimepungua kidogo.
 
Ni ujinga uliovuka mipaka kuamini eti Davido anaweza kuwa na mapenzi kwa Tanzania! Hiyo kitu ni insults na wala tusijidanganye kwamba eti wanaompigia wana mapenzi na Davido kwa sababu ni wazi wanaompigia ni mashabiki wa Wema ambao bado inawauma the so called madam wao kupigwa chini na wengine wanaompigia kura ni mashabiki wa Kiba ambao baada ya kuona mtu wao hana uwezo tena wa kushindana na Diamond ndipo wameamua kujiegemeza kwa yeyote yule atakayekuwa anashindana na Diamond. Davido mwenyewe ana akili timamu na anafahamu kabisa wanaompigia sio wanafanya hivyo kwa mapenzi ya dhati bali kwa ajili ya kumkoa mtu kwahiyo anapoweka bendera ya Tanzania, ukiangalia kwa macho matatu ni bonge la insult na in fact, anawang'ong'a!
 

Kumbe hapa naongea kenge, umewahi kuona sehem kiba akimtaja huyo dai wako? Wapuuz nyie naona mmeanza kuomba poo, tuanza na nyie kwenye tuzo mlizoziita local na sasa tumewafata hadi huko intaneshino.
 
Yaani nilipigwa ban nikamalizia mb kwenye ku vote yaani kila dakika na vote tuu yaan nikichoka namwambia mdogo wangu abonyeze kwa davido tuu

haha unaona matumbo alivyopanic?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…