matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Think big Comrade matumbo , Kiba ni legend wa mziki wa bongo flavor, Dai kamkuta Kiba tayari ana fanbase kubwa tena ile die hard fans, ndiomana itaona mpaka leo Kiba bado kasimama, mbali na ukimya wake wa muda mrefu lakini still mashabiki wa Kiba wameendelea kuwa naye, Tuzo za watu na Kill ni fundisho tosha kuwa kuna watu wengine hapa nchini ni untouchable, ni sawa na Juma Nature mbali na ukimya wake lakini tayari fanbase yake ni kubwa kuliko,
Wewe mpuuzi hujui chochote huyo kiba angekuwa na mashabiki angekuwa anafanya mambo yake bila kupitia mgongo wa diamond, anajua kwa sasa music wa Bongo awezi kufanya bila kutumia jina la Dai ndio maana hautomskia ila mpaka awe anawekwa pamoja show na Diamond au tunzo.
Kuhusu mashabiki ata wewe unaujua ukweli nani mwenye washabiki wa kweli na wengi. Just anzia ndani mpaka nje ya nchi, au pitia YouTube uone video ya kiba yenye miezi 8 inazidiwa viewers na video ya Diamond yenye wiki moja. Hao haters wa Diamond wanapogeuka voters wa kiba usichelee ona sasa leo wamekimbilia kwa Davido.
Last edited by a moderator: