Kazi unayo, ili mradi tu Diamond asishinde!Yaani nilipigwa ban nikamalizia mb kwenye ku vote yaani kila dakika na vote tuu yaan nikichoka namwambia mdogo wangu abonyeze kwa davido tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi unayo, ili mradi tu Diamond asishinde!Yaani nilipigwa ban nikamalizia mb kwenye ku vote yaani kila dakika na vote tuu yaan nikichoka namwambia mdogo wangu abonyeze kwa davido tuu
Ni ujinga uliovuka mipaka kuamini eti Davido anaweza kuwa na mapenzi kwa Tanzania! Hiyo kitu ni insults na wala tusijidanganye kwamba eti wanaompigia wana mapenzi na Davido kwa sababu ni wazi wanaompigia ni mashabiki wa Wema ambao bado inawauma the so called madam wao kupigwa chini na wengine wanaompigia kura ni mashabiki wa Kiba ambao baada ya kuona mtu wao hana uwezo tena wa kushindana na Diamond ndipo wameamua kujiegemeza kwa yeyote yule atakayekuwa anashindana na Diamond. Davido mwenyewe ana akili timamu na anafahamu kabisa wanaompigia sio wanafanya hivyo kwa mapenzi ya dhati bali kwa ajili ya kumkoa mtu kwahiyo anapoweka bendera ya Tanzania, ukiangalia kwa macho matatu ni bonge la insult na in fact, anawang'ong'a!

Yaani tunatia aibu tunavyoamua kuonesha ujinga wetu wazi wazi! Na uzuri ni kwamba wote wanaojifanya eti wana mapenzi na davido wala hawana hayo mapenzi bali ili mradi tu kutoka nchi yao asishinde sasa kama sio ujinga sijui tuite nini.Watanzania ni watu wa ajabu.....
Watanzania ni watu wa ajabu.....
Ndo maana CCM itaendelea kutawala Tz!
Watz ukiwapa kanga na kofia tu Kwisha habari yao!
Davido ameshtukia ujinga wa watz!
Eti wana hasira na Diamond kwani aliyeliwa si Wema?
Sasa hawa kina mrembo by nature na shadcole sijui kiliwauma nini Wema kuliwa na kuachwa!
Hii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.
Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa Tanzania kwa kuposti bendera ya Tz na kuweka ishara ya upendo.
Mimi ninashauri kila mtu afanye kile akipendacho. Kama unaona moyo wako unakutuma kumuunga mkono Diamond Fanya hivyo. Na kama unaona Davido ndio anakufaa Fanya hivyo.
Si vyema kupangiana maisha chini ya mwavuli Wa uzalendo.
Hawanisumbui ndugu yangu, mie nimeshawadharau zamani sana manake nafahamu kinachowasumbua ni kutojitambua! Na wasivyoona aibu wanapofanya mambo kwa majigambo as if wanafanya jambo la maana kumbe wanachofanya mbele ya wenye akili zao ni ujinga uliovuka mipaka ya ujinga.wasi kuumize kichwa hao mambwiga hawana ishu achana nao!
Kumbe hapa naongea kenge, umewahi kuona sehem kiba akimtaja huyo dai wako? Wapuuz nyie naona mmeanza kuomba poo, tuanza na nyie kwenye tuzo mlizoziita local na sasa tumewafata hadi huko intaneshino.
Zaid ya ajabu" ila ni elimu tu ndio solution ujinga bado unatawala sana. Sawa kila mtu anachoice yakuvote bt ukiangalia wanavote kwa davido cz labda Wema aliachwa na mondi au Mondi kuwa juu ya kiba hvo tu. Sasa kama c chuki ni nn
Nanukuu kutoka insta"This Tanzanians are fools...We Kenyans will vote our Sauti Sol..Davido knows that if he post Kenyans Flag he can't easily change our mind...but because he knows this Tanzanians are fools..he tried out...N he has indeed succeded...Tanzanianians will forever be the last...in education...They are the last the last in East africa...in sports they are the last...and now in music....I thought they will do well....but from the look of things ..they will always be the last....RIP TanzaniaHii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.
Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa Tanzania kwa kuposti bendera ya Tz na kuweka ishara ya upendo.
Mimi ninashauri kila mtu afanye kile akipendacho. Kama unaona moyo wako unakutuma kumuunga mkono Diamond Fanya hivyo. Na kama unaona Davido ndio anakufaa Fanya hivyo.
Si vyema kupangiana maisha chini ya mwavuli Wa uzalendo.
Kazi unayo, ili mradi tu Diamond asishinde!
Huyo kiba alivyorudi kila interview ni Dai mbaya alinifanyia hivi, diamond nilimwombea arekodiwe, Dai kakalia kiti changu, Dai anafanya muziki sio wakitz. Yeye kama anajiamini afanye kazi ziongee kama mwenzie sio majungu mengi ila mpaka sasa hakuna jipya ni haters za Diamond wamebaki kupiga kelele mitandaoni kumpaisha. Fanya ata show yake mcity tuone hao wshabiki wake, sio kelele wakati wenzie wanajaza viwanja vya mipira sasa.
haha unaona matumbo alivyopanic?
Nanukuu kutoka insta"This Tanzanians are fools...We Kenyans will vote our Sauti Sol..Davido knows that if he post Kenyans Flag he can't easily change our mind...but because he knows this Tanzanians are fools..he tried out...N he has indeed succeded...Tanzanianians will forever be the last...in education...They are the last the last in East africa...in sports they are the last...and now in music....I thought they will do well....but from the look of things ..they will always be the last....RIP Tanzania
Ni ujinga uliovuka mipaka kuamini eti Davido anaweza kuwa na mapenzi kwa Tanzania! Hiyo kitu ni insults na wala tusijidanganye kwamba eti wanaompigia wana mapenzi na Davido kwa sababu ni wazi wanaompigia ni mashabiki wa Wema ambao bado inawauma the so called madam wao kupigwa chini na wengine wanaompigia kura ni mashabiki wa Kiba ambao baada ya kuona mtu wao hana uwezo tena wa kushindana na Diamond ndipo wameamua kujiegemeza kwa yeyote yule atakayekuwa anashindana na Diamond. Davido mwenyewe ana akili timamu na anafahamu kabisa wanaompigia sio wanafanya hivyo kwa mapenzi ya dhati bali kwa ajili ya kumkoa mtu kwahiyo anapoweka bendera ya Tanzania, ukiangalia kwa macho matatu ni bonge la insult na in fact, anawang'ong'a!
Yaah Afrika wote tu nduguVote for DAVIDO
Davido love Tanzanians, just because Tanzania is a part and parcel of Africa, simply Davido is a real patriotic man.