warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nakupendaje sasa!
Mimi hata watukane vipiii napiga kwa davido.
Yani davido tu, kavanesa kanajifanyag kazungu sikapend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupendaje sasa!
Mimi hata watukane vipiii napiga kwa davido.
Watanzania wengi ni mbulula wanaleta chuki ambazo hazina msingi wowote diamond ataendelea kuwa juu.RIZIKI HAIPANGWI NA MTU ANAOPANGA NI MUNGU PEKEE.
Hii ndio TZ.
Halafu wengine mnashangaa maamuzi ya viongozi wenu wa kisiasa.
Kama unampigia Davido kwa kuwa umeona kipaji chake kipo juu ya Diamond, hiyo ni sahihi.
Ila kama unampigia Davido kwa sababu ya kumkomoa Diamond MTZ mwenzako, hata kama ni maamuzi binafsi ila unaonyesha wivu wa kurudishana nyuma.
Hivi kwani huyo Diamond kawafanya nn!? Kwani ni vibaya kuwa mshabiki wa Diamond na Ally Kiba kwa wakati mmoja!? Badala ya kumsaidia Ally Kiba kwa kumpa changamoto apate mafanikio kama ya mwenzake nyie mmempamba na tuzo ya uongo (mtumbuizaji bora, seriously!?).
Ili nchi iendelee., tuacheni majungu na wivu bali tuchukulie waliofanikiwa zaidi yetu ktk nyanja fulani ni kwamba wanatupa changamoto
Yani davido tu, kavanesa kanajifanyag kazungu sikapend
una wivu wa maendeleo ya mtu wa kuzaliwa lazima utakuwa mchawi kama bado utarithishwa sio muda
Nikiwa mchawi wewe inakuhusu nini? Au unataka nikupe na wewe? Maendeleo Ulaya uko kwa akina nelly, bongo ushuzi mtupu mxiuuuu tena usinizoee tobo la mama ako wew
ha ha ha mama yako hana shimoooooo
Nikiwa mchawi wewe inakuhusu nini? Au unataka nikupe na wewe? Maendeleo Ulaya uko kwa akina nelly, bongo ushuzi mtupu mxiuuuu tena usinizoee tobo la mama ako wew
fyatuka tufyatuane hizi ndo nazipendaga
Nikiwa mchawi wewe inakuhusu nini? Au unataka nikupe na wewe? Maendeleo Ulaya uko kwa akina nelly, bongo ushuzi mtupu mxiuuuu tena usinizoee tobo la mama ako wew
na la bibi na babakooo
Nimekuonjesha matusi kidogo tu unachanganyikiwa unaanza kuji quote, nikikutukana kabisa si ndio utaanza kujitia vidole kabisa mxiee, achana na mimi tahira wewe
Nimekuonjesha matusi kidogo tu unachanganyikiwa unaanza kuji quote, nikikutukana kabisa si ndio utaanza kujitia vidole kabisa mxiee, achana na mimi tahira wewe
Oyooooooo pamekucha papireeeeeeeeeeee papiriiiiiiiivote vote vote for davido hutaki jing'ate ulimi
Umefungua pm dadake Kiba?
Hahahaaaa jaman wa kukurupuka wamepaniki balaa adi wanajitukana wenyewe. warumi muhurumie jamani
Umefungua pm dadake Kiba?