Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 835
Kosa ni kusema kila mtu afanye kile apendacho?? Ndugu unakosea usiongozwe na hisia.
* wewe mwenyewe unajua kuwa ishu nzima hapa ni chuki kwa Diamond kutoka kwa mashabiki wa kiba na haters wa diamond....
* mashabiki wa diamond hawawezi kupendezwa na mtu anaesambaza chuki na wivu dhidi ya Diamond kwa kisingizio cha kufanya akitakacho...naamini anavyoamua kupost hii topic alitegemea yatatokea...
* sijaongozwa na hisia, hiyo ni Fact..