Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

Kosa ni kusema kila mtu afanye kile apendacho?? Ndugu unakosea usiongozwe na hisia.

* wewe mwenyewe unajua kuwa ishu nzima hapa ni chuki kwa Diamond kutoka kwa mashabiki wa kiba na haters wa diamond....

* mashabiki wa diamond hawawezi kupendezwa na mtu anaesambaza chuki na wivu dhidi ya Diamond kwa kisingizio cha kufanya akitakacho...naamini anavyoamua kupost hii topic alitegemea yatatokea...

* sijaongozwa na hisia, hiyo ni Fact..
 
Nimeskia mengiiiii ayana kichwa wala miguu. Hiv yote haya yametokana na watu walolala. Na pesa zao wakila maisha. Matamu daaaaah ze tz kilazaaaa akil zilio lala
 
Hivi JF kwa anonymous anakuwa mnafiki mtaani si ndio zaidi?? Huyu ni nyoka kibisa

Mtaani kwetu mijitu kama huyu shankupe huwa inachomwa moto na majivu yake yanatupwa katikati ya bahari.
 
* wewe mwenyewe unajua kuwa ishu nzima hapa ni chuki kwa Diamond kutoka kwa mashabiki wa kiba na haters wa diamond....

* mashabiki wa diamond hawawezi kupendezwa na mtu anaesambaza chuki na wivu dhidi ya Diamond kwa kisingizio cha kufanya akitakacho...naamini anavyoamua kupost hii topic alitegemea yatatokea...

* sijaongozwa na hisia, hiyo ni Fact..

Kwanini muite chuki?
Kwani kupenda chenza ni kuchukia chungwa.
Jamani, hatuwezi kufanana.
Ina maana mtu usipopigia kura CuF ukapigia ccm maana yake una chuki na cuf au simply umependezwa na CCm??
 
Thanx AGAIN...
 
Sasa kama mmejua tuna akili ndogo si mziongeze ziwe nyingi?
Hakuna asiye na matusi ila kinachopaswa ni kutolerate utofauti wetu..
Unanijia huko na viroba vyako, ntakudharau nkishindwa nakunyea.Ila kwanini uniparamie.
Mimo nimeamua kuvote kwa Davido inakukera sana mpaka unitukane???.
Nimevunja sheria? Natumia bundle yako?
Kwanini unilazimishe nifanane na wewe??.

* sijaona sehemu mtu kalazimishwa kumpigia kura Diamond...ishu ni kuwa ishaonekana kuwa hii campaign ya vote for davido ina element za chuki na wivu dhidi ya diamond wala sio ushabiki kwa davido kiuhalisia....

* the other truth is, nyie mnafanya hivyo ili kumuangusha Diamond, which is fine kwa sababu msanii hawezi kuwa juu bila kuwa na watu wanaomchukia kama wewe...never...

* natofautiana na wenzangu wanaowatukana as a result...inabidi wakumbuke kuwa diamond lazima awe na haters..tena real haters...ili aendelee kuwa juu...
 
Uzuri wa jf miaka nenda rudi siku likikudondokea wanafiki wenzio wote wanakaa kimyaa!
Wanaishia pm tu.Mtu ashawahi kusutwa sijui kwanini habadiliki.
Mtu mbaya sana kuleta chuki na fitna anapoona hamna maelewano.
Hii tabia asipoangalia ataifanya mpaka nyumbani na ofisini kwake.

Ndo hvo wanaokushadadia wote wanakua kimya wanaenda pm huko unabaki mwenyewe hyo tabia sio nzuri kabisa.
Na huyo mleta chuki na fitina anapenda mafarakano sijui anapata faida gani.
 
Kwanini muite chuki?
Kwani kupenda chenza ni kuchukia chungwa.
Jamani, hatuwezi kufanana.
Ina maana mtu usipopigia kura CuF ukapigia ccm maana yake una chuki na cuf au simply umependezwa na CCm??

* Nyie si ndo huwa mnamuita Diamond 'domo' ...hilo jina lipo kawaida?

* Chuki ni pale ambapo kila siku unaongea mabaya tu kuhusu mtu au kitu fulani kama vile kizuri hakipo cha kuongelea..unaweza kumpongeza Diamond, kwa mfano akishinda hizo tuzo za MTV?
 
Kwanini muite chuki?
Kwani kupenda chenza ni kuchukia chungwa.
Jamani, hatuwezi kufanana.
Ina maana mtu usipopigia kura CuF ukapigia ccm maana yake una chuki na cuf au simply umependezwa na CCm??
Ndo hapo akili zao zinaponishinda
 
Ndo hvo wanaokushadadia wote wanakua kimya wanaenda pm huko unabaki mwenyewe hyo tabia sio nzuri kabisa.
Na huyo mleta chuki na fitina anapenda mafarakano sijui anapata faida gani.
Najua mda huu anapita kimyakimya ila salamu amezipata.
 
Hii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.

Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa Tanzania kwa kuposti bendera ya Tz na kuweka ishara ya upendo.

Mimi ninashauri kila mtu afanye kile akipendacho. Kama unaona moyo wako unakutuma kumuunga mkono Diamond Fanya hivyo. Na kama unaona Davido ndio anakufaa Fanya hivyo.

Si vyema kupangiana maisha chini ya mwavuli Wa uzalendo.
Nasikia unautaka ubunge wa viti maalum mkoa wa Singida ni kweli au wanakuzushia ??????
 
hadi wakenya wanatudharau View attachment 262065

Huyo naye aliopost huo utumbo embu akafie mbele huko eti "This Tanzanian are fools" english yenyewe ina matege, amesikia watanzania wote tuna support huu utumbo wakumvote davido badala ya diamond?
Wakati nima jinga flani flani hivi yaliyotoka huko yalikotoka yanajaribu kuzui mafuriko kwa mkono wakati diamond yeye anaendelea kushine tuu.
Go go diamond""!!!
Go Tanzania:sly:
 
Huyo naye aliopost huo utumbo embu akafie mbele huko eti "This Tanzanians are fools" english yenyewe ina matege, amesikia watanzania wote tuna support huu utumbo wakumvote davido badala ya diamond?
Wakati nima jinga flani flani hivi yaliyotoka huko yalikotoka yanajaribu kuzui mafuriko kwa mkono wakati diamond yeye anaendelea kushine tuu.
Go go diamond""!!!
Go Tanzania:sly:

hahahaaa wanataka kuliziba jua na ungo, na hawataweza diamond juu miaka buku, hebu nivote za kulalia mie.
 
Back
Top Bottom