Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

Mnafiki sana kuliko neno unafiki wenyewe.
Sasa kuna mahali walikatuna kenyewe kuwa kamalaya.Kalitia huruma mpaka basi.
lakini kenyewe kakiona wenzake wanatukanwa kanachekelea tu.
Mxiu zake.Ipo siku.
Ndio maana kuna sehemu huwa kanafukuzwa kama mbwa.
Mbona ndio story ya mjini kwamba eti anatongoza wakaka Wa humu...hahahahahaha halooooo ya chotara Wa kipare na kiyao
 
Ivi data, mimi nimewahi kukosea heshima au unatafuta kiki za kijinga???

Tulia ,lala, yameisha.
Msianzishe tena thread chokonozi.

Na kuna moja kashaianzisha kaka yako Matola si mda.
 
Last edited by a moderator:
* Kila mtu anajua matusi...akitukanwa kwa sababu anasambaza ujinga wake anatakiwa kuwa mstaarabu na kujirekebisha...

* tumieni akili, kila mtu anawaona jinsi akili zenu zilivyo ndogo...

* Next time unashauri wanaume, angalia, nyie ndio mnahitaji ushauri zaidi...hamna aliewakataza kuvote kwa msanii yeyote..tambueni mwisho wa siku sio idadi ya kura zilizopigwa ndio zitaamua mshindi...

Sasa kama mmejua tuna akili ndogo si mziongeze ziwe nyingi?
Hakuna asiye na matusi ila kinachopaswa ni kutolerate utofauti wetu..
Unanijia huko na viroba vyako, ntakudharau nkishindwa nakunyea.Ila kwanini uniparamie.
Mimo nimeamua kuvote kwa Davido inakukera sana mpaka unitukane???.
Nimevunja sheria? Natumia bundle yako?
Kwanini unilazimishe nifanane na wewe??.
 
Ndi Tanzania cheta niile ụgha na ha chefuru na-akwado Davido diamond bụ nzuzu haya team davido tafsir hicho tuone kama unashabikia unachokijua ????
 
Zari akijifungua salama ndio itakuwa balaa.. Ntaanza kufanya biashara ya kulima ndimu heka mia tisa maana najua zitauzika kuliko kitu chochote kile.

Kwani yeye ndo wa kwanza kujifungua dunia hii. Wonders shall never end loh.
 
Tulia ,lala, yameisha.
Msianzishe tena thread chokonozi.

Na kuna moja kashaianzisha kaka yako Matola si mda.

Mimi huwa nakushangaa sijui unatumia viroba vilivyo expire? .ukiona mtu anakuheshimu jiheshimu.
Sina ubaya na wewe usilazimishe migongano isio ya lazima.
Unataka kumtukana mtu ili ufurahishe wenzio?
 
Last edited by a moderator:
* Kila mtu anajua matusi...akitukanwa kwa sababu anasambaza ujinga wake anatakiwa kuwa mstaarabu na kujirekebisha...

* tumieni akili, kila mtu anawaona jinsi akili zenu zilivyo ndogo...

* Next time unashauri wanaume, angalia, nyie ndio mnahitaji ushauri zaidi...hamna aliewakataza kuvote kwa msanii yeyote..tambueni mwisho wa siku sio idadi ya kura zilizopigwa ndio zitaamua mshindi...

Ahsante kwa ujumbe huu.
 
Yani hapa sitoki hata waniite majina gani, wazushe lipi. Kwanza si wanadai domo ni billionaire kwanini asiwaanzishie forum yao washinde huko? Labda max melo anitoe yeye

Naam ndio wewe muhisika here we go let's start the game!
 
Yani huyu demu ni nyoka kazi kuchafua wenzake huko chumbani ila Mungu yupo yatamrudia yeye siku moja

Mnafiki yoyote snitch na back biters ni zaidi ya pepo mana hupenda kufurahisha watu, ili aonekane mzuri. Anang'ata na kupuliza ka panya buku.
Amesahau what goes around vinarudiaga.
 
Mnafiki yoyote snitch na back biters ni zaidi ya pepo mana hupenda kufurahisha watu, ili aonekane mzuri. Anang'ata na kupuliza ka panya buku.
Amesahau what goes around vinarudiaga.

Uzuri wa jf miaka nenda rudi siku likikudondokea wanafiki wenzio wote wanakaa kimyaa!
Wanaishia pm tu.Mtu ashawahi kusutwa sijui kwanini habadiliki.
Mtu mbaya sana kuleta chuki na fitna anapoona hamna maelewano.
Hii tabia asipoangalia ataifanya mpaka nyumbani na ofisini kwake.
 
Indio hivyo anavyoharibia wenzake ajue name yeye kwake hapajapoa. Nae amepachikwa kazi ya full time. Shoga upunguze unafiki utakufa umekaa khaaa

Uzuri karma is bad byatch...
Siku yaja.
 
Uzuri wa jf miaka nenda rudi siku likikudondokea wanafiki wenzio wote wanakaa kimyaa!
Wanaishia pm tu.Mtu ashawahi kusutwa sijui kwanini habadiliki.
Mtu mbaya sana kuleta chuki na fitna anapoona hamna maelewano.
Hii tabia asipoangalia ataifanya mpaka nyumbani na ofisini kwake.
Hivi JF kwa anonymous anakuwa mnafiki mtaani si ndio zaidi?? Huyu ni nyoka kibisa
 
Back
Top Bottom