Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

Haya,si unataka jipya!!?

Hili hapa, mwambieni mfalme wa nyika atoe video.
Wema kafilisika na Kidoti wachina wameshajipigia wamechoka.
Wamemwachia tembo ..
Mtahama mjini nyie.

mji mtahama nyie ngoja siku ya ugawaji wa tuzo ifike mbona bukuku
 
Ivi ni kwanini mashabiki wa king of the jungle wako very desperate na maisha. Ni nini!? Wamekata tamaa,hawana matumaini,wamejaa giza.

Wanajuta hata kuzaliwa!! Why?? Maake naona wanaenda kuwa vichaa kabisa.

Hivi hamjishangai kwanini mnatukana sana??
Huoni mna tatizo??
 
@Hivi nyie wanaume, mnammiminia Mrembo by Nature matusi yote haya kwa kuwa ameamua kumpigia kura davido?
Jiulizeni je amevunja sheria?
Je anatumia bundle au device zenu?
Ally kiba anaingiaje?
Je mnataka wote wawe washabiki wa Diamond?
Naona mmeanza kasumba ya kutukana mwanamke yeyote anayeonyesha kusimamia nafsi yake inachopenda hasa katika burudani.
Hizo sehemu za kike mnazotukana mlitokea hukohuko!
Mnakera sana.Please acheni sehemu za mwanamke.Unamwita mtu malaya afu hata hujui anafananaje!
Its a shame.
Ongeeni hoja teteeni misimamo yenu,
Na nyie wanawake mnachekelea tuuuu... !
 
Last edited by a moderator:
Unafikiri tuna shida nao hawa, wanatulazimisha.
Wanamlisha kiba uchafu kunuka..hadi uruma., dogo mpaka anashindwa kufikiri.
Tukiwaignore mbona watakosa cha kusema tuwaache na stress zao watashindwa hata kulinda tembo kisa Diamond
 
@Hivi nyie wanaume, mnammiminia Mrembo by Nature matusi yote haya kwa kuwa ameamua kumpigia kura davido?
Jiulizeni je amevunja sheria?
Je anatumia bundle au device zenu?
Ally kiba anaingiaje?
Je mnataka wote wawe washabiki wa Diamond?
Naona mmeanza kasumba ya kutukana mwanamke yeyote anayeonyesha kusimamia nafsi yake inachopenda hasa katika burudani.
Hizo sehemu za kike mnazotukana mlitokea hukohuko!
Mnakera sana.Please acheni sehemu za mwanamke.Unamwita mtu malaya afu hata hujui anafananaje!
Its a shame.
Ongeeni hoja teteeni misimamo yenu,
Na nyie wanawake mnachekelea tuuuu... !

the thing is they real dont know me. JF ananijua mtu mmoja tu na ninamuheshimu sana. hadi tunasaidiana kwenye real life. hao wengine ni madebe matupu yaache yapige kelele
 
Last edited by a moderator:
Na mtavote saaaaaaaaaana hadi kwa chris brown kwenye grammy awards huku chibu dangote huyoooooo anazidi tu kupaa anga...

Leo ametoka kushoot video aliyoshirikishwa hukooo South ambapo kichupa kinatoka wiki hii... Kasha kwea pippa yupo Mozambique sahivi kaenda kushoot video nyingine hahaha..

tarehe 3 huyooooo anaanza tour ya mtvmama awards, atakuwa na show ya kibabe saaaaaana pale naija huku mnalinda tembo hahahahaha walahi mtapanick mwaka huu

Mkumbuke tu akimaliza tour ya africa, mwezi wa tisa anaenda marekani kwaajili ya video shoot na mmanyema wa mbele yaaaani tunazo ngoma zenye video tayari yakufanya tuwatapishe kilasiku kwa miaka mitatu mfululizo na bado tunafanya yetu... team dangote oyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Mkumbuke tu Taifa lishamtambua kuwa icon tunasubiri muamze kumtumia kwenye noti hahaha kama hampendi gademu kufwa for mr. president dr. chibu dangote, Na unapozungumzia tanzania unaongelea Mt. kilimanjaro na Diamond platnumz ,.. taifastars mpira unaendelea tushakalishwa viwili na uganda duuuuh
 
Kama king of tembo kaishiwa semeni., sio kuja tukana watanzania hapa.

Wema hana hela,kidoti hana hela..
Cheketwa video haijatoka.. Semeni msaidiwe.

Mbona team PLATNUMZ waungwana tu,tutawafikiria.

Ukarimu huu ni vyema mkauonesha kwa Baba mzee chema i mean biological Father wa Diamond ambaye anaishi maisha duni na anahitaji msaada.
 
hahahahaha ufundi tu.... watu wanapanick, afu unajuwa kinachofanya waumie zaidi ni kumuona mchizi bado ana shine kinoma, so kinachosalia ni wao kuuvaa ushabiki kwa kila ataeshindana na dangote hata ikitokea bestnaso kawekwa category moja na diamond hakuna mbongo mwingine wema na jokate watakwambia wanamuelewaga sana nyimbo zake ajahahahahha

Zari akijifungua salama ndio itakuwa balaa.. Ntaanza kufanya biashara ya kulima ndimu heka mia tisa maana najua zitauzika kuliko kitu chochote kile.
 
Ndio maana nakwambia una sifa hio......Hata Babu yangu pia.....wewe tena

Kweli kabisaa! Nimewavuruga ukoo wenu wotee, wewe, babako, babu yako na sasa hivi hapa nasagana na dada yako.
Too bad ulinidissapoint kwa uhanithi wako.
 
Achana nae watakubanika bwana

Ujue kuna watu wanajifanya wajuaji sana.Mtu anaku attack from nowhere ili nayeye aonekane amekuquote, kujikomba komba.
Yani leo ntabanikwa sio bure.Huyu anataka nipigwe ban sio bure.
 
Ujue kuna watu wanajifanya wajuaji sana.Mtu anaku attack from nowhere ili nayeye aonekane amekuquote, kujikomba komba.
Yani leo ntabanikwa sio bure.Huyu anataka nipigwe ban sio bure.

Acha utoto utalimwa,, huoni mi mwenyewe nimekuwa mdogo.
 
chibu dangote

wekuni wivu pembeni and let us all tupige kura
kwa mkali anaewakilisha taifa letu
diamondplatnumz pamoja na vmoney au sio team
kibaaa...

Hivi hamjui kwamba kiba alivoenda marekani
baada ya kuona hawaijui tz akasema
"""i am coming from diamond platnumz country""""
hahahahahaha fanyeni tuzidi kuleta heshima
nyumbani kama veepee
one love team kiba me mwenyewe mwanenu
nasubiri kichupa cha cheketuta tu chekeche
mpango mzima haayaaa chekecha chekecha
chekecha...

vote for diamond platnumz and vee mapesa Our
nations icons wa muziki kwa sasa, alikiba
kashapiga kura we unasubiri nini?????????
 
Back
Top Bottom