Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

Mode hawataki mchezo ....... Haaaaaa

Sa hivi inabidi wawe wana follow up sana huku celebrities
 
Ujue kuna watu wanajifanya wajuaji sana.Mtu anaku attack from nowhere ili nayeye aonekane amekuquote, kujikomba komba.
Yani leo ntabanikwa sio bure.Huyu anataka nipigwe ban sio bure.
Axhana nao buanna japo wanaboa kimtindo na hizo attack zao. Kaahh alafu walivyo Wa ajabu eti wananiambia niwaombe samahan!! nani labda sio Mimi chotara Wa kipare na kiyao
 
Alafu kuna demu mmoja ni mnafiki hadi shetani anamuogopa....

Duuu! Hakunaga demu mnafiki kama yule africa nzima.
Zamani nilidhani wanamwonea aisee anatisha zaidi ya ukoma.
Na sura yake ya upole.
Haoa ndipo nakumbuka maneno ya nifah.
 
Last edited by a moderator:
Axhana nao buanna japo wanaboa kimtindo na hizo attack zao. Kaahh alafu walivyo Wa ajabu eti wananiambia niwaombe samahan!! nani labda sio Mimi chotara Wa kipare na kiyao

Naona wanataka tupungue ili wafaidike.Wasipingane wala kutofautiana si waanzishe forum yao???
 
Duuu! Hakunaga demu mnafiki kama yule africa nzima.
Zamani nilidhani wanamwonea aisee anatisha zaidi ya ukoma.
Na sura yake ya upole.
Haoa ndipo nakumbuka maneno ya nifah.
Yani huyu demu ni nyoka kazi kuchafua wenzake huko chumbani ila Mungu yupo yatamrudia yeye siku moja
 
Last edited by a moderator:
@Hivi nyie wanaume, mnammiminia Mrembo by Nature matusi yote haya kwa kuwa ameamua kumpigia kura davido?
Jiulizeni je amevunja sheria?
Je anatumia bundle au device zenu?
Ally kiba anaingiaje?
Je mnataka wote wawe washabiki wa Diamond?
Naona mmeanza kasumba ya kutukana mwanamke yeyote anayeonyesha kusimamia nafsi yake inachopenda hasa katika burudani.
Hizo sehemu za kike mnazotukana mlitokea hukohuko!
Mnakera sana.Please acheni sehemu za mwanamke.Unamwita mtu malaya afu hata hujui anafananaje!
Its a shame.
Ongeeni hoja teteeni misimamo yenu,
Na nyie wanawake mnachekelea tuuuu... !

* Kila mtu anajua matusi...akitukanwa kwa sababu anasambaza ujinga wake anatakiwa kuwa mstaarabu na kujirekebisha...

* tumieni akili, kila mtu anawaona jinsi akili zenu zilivyo ndogo...

* Next time unashauri wanaume, angalia, nyie ndio mnahitaji ushauri zaidi...hamna aliewakataza kuvote kwa msanii yeyote..tambueni mwisho wa siku sio idadi ya kura zilizopigwa ndio zitaamua mshindi...
 
Last edited by a moderator:
Naona wanataka tupungue ili wafaidike.Wasipingane wala kutofautiana si waanzishe forum yao???

Yani hapa sitoki hata waniite majina gani, wazushe lipi. Kwanza si wanadai domo ni billionaire kwanini asiwaanzishie forum yao washinde huko? Labda max melo anitoe yeye
 
Yani huyu demu ni nyoka kazi kuchafua wenzake huko chumbani ila Mungu yupo yatamrudia yeye siku moja

Mnafiki sana kuliko neno unafiki wenyewe.
Sasa kuna mahali walikatuna kenyewe kuwa kamalaya.Kalitia huruma mpaka basi.
lakini kenyewe kakiona wenzake wanatukanwa kanachekelea tu.
Mxiu zake.Ipo siku.
Ndio maana kuna sehemu huwa kanafukuzwa kama mbwa.
 
* Kila mtu anajua matusi...akitukanwa kwa sababu anasambaza ujinga wake anatakiwa kuwa mstaarabu na kujirekebisha...

* tumieni akili, kila mtu anawaona jinsi akili zenu zilivyo ndogo...

* Next time unashauri wanaume, angalia, nyie ndio mnahitaji ushauri zaidi...hamna aliewakataza kuvote kwa msanii yeyote..tambueni mwisho wa siku sio idadi ya kura zilizopigwa ndio zitaamua mshindi...

Kosa ni kusema kila mtu afanye kile apendacho?? Ndugu unakosea usiongozwe na hisia.
 
Ujue kuna watu wanajifanya wajuaji sana.Mtu anaku attack from nowhere ili nayeye aonekane amekuquote, kujikomba komba.
Yani leo ntabanikwa sio bure.Huyu anataka nipigwe ban sio bure.

Mtuu ka huyo ni wakumpuuzia tu ndo dawa yake. Watu wana hasira midume mizima inamwaga povu ka nini
 
Back
Top Bottom