Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Naona unaota huku uko macho,kwenye category gani kwa mfano!!?
Msanii bora wa kiume
Mtumbuizaji bora...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaota huku uko macho,kwenye category gani kwa mfano!!?
Nitafurahi Lawyer.....
Msela anajitahidi kwa nafasi yake
No hate but hiyo itakuwa ni miujiza
Nyerere si muasisi wa taifa ..
Kama huyo jamaa kweli ni lawyer basi ni msiba huu kwa Taifa.
bush lawyer heheheh
na mimi huwa sibishani na stressed toy boys u got me...geraaaarehhiiiia
na mimi huwa sibishani na stressed toy boys u got me...geraaaarehhiiiia
Yani ni sheeeeeeedar.
Unajifanya sana ww....angalia hatulingani shaur yako....!
that is realit wewe ni stressed bit* na utabaki kua hivyo,na hilo sio kosa lako ni legacy,mtoto wa mende hawezi kua inzi hta siku1.ha ha ha this sounds fun "mtoto wa mende hawezi kua inzi" ha ha ha
Kama huyo jamaa kweli ni lawyer basi ni msiba huu kwa Taifa.
data team domo muungwana ni nani? nyie sio watukanaji humu?? na matusi yenu ni yale yale hamna jipya...naomba uwaambie wenzako akina matumbo na huyu chinga makonde mje na mapya sio zilipendwaKama king of tembo kaishiwa semeni., sio kuja tukana watanzania hapa.
Wema hana hela,kidoti hana hela..
Cheketwa video haijatoka.. Semeni msaidiwe.
Mbona team PLATNUMZ waungwana tu,tutawafikiria.
Haya,si unataka jipya!!?
Hili hapa, mwambieni mfalme wa nyika atoe video.
Wema kafilisika na Kidoti wachina wameshajipigia wamechoka.
Wamemwachia tembo ..
Mtahama mjini nyie.
stop selling ur P.
nipo sawa kutetea kile ninachokiamini na ndio hapo utashi wa binadam huonekana.
Team Mondi na wapenzi wote wa Mondi msibishane na team stress jamani wapiga kura wenyewe hawafiki hata kumi please relax hawana cha kuzungumza hao wivu tu umewajaa.