Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

na mimi huwa sibishani na stressed toy boys u got me...geraaaarehhiiiia

that is realit wewe ni stressed bit* na utabaki kua hivyo,na hilo sio kosa lako ni legacy,mtoto wa mende hawezi kua inzi hta siku1.ha ha ha this sounds fun "mtoto wa mende hawezi kua inzi" ha ha ha
 
stress zinaweza kuwa za furaha au huzuni. kila mmoja kwa wakati wake anakuwa na stress iwe kwa furaha au huzuni. so nikushangae wewe big for nothing mumu usiyeelewa hata unachokiandika toy boy
 
Kama king of tembo kaishiwa semeni., sio kuja tukana watanzania hapa.

Wema hana hela,kidoti hana hela..
Cheketwa video haijatoka.. Semeni msaidiwe.

Mbona team PLATNUMZ waungwana tu,tutawafikiria.
 
data team domo muungwana ni nani? nyie sio watukanaji humu?? na matusi yenu ni yale yale hamna jipya...naomba uwaambie wenzako akina matumbo na huyu chinga makonde mje na mapya sio zilipendwa
 
Last edited by a moderator:

Haya,si unataka jipya!!?

Hili hapa, mwambieni mfalme wa nyika atoe video.
Wema kafilisika na Kidoti wachina wameshajipigia wamechoka.
Wamemwachia tembo ..
Mtahama mjini nyie.
 
ha ha haa hashim kapigaa weee ,asije aka mpwelepweta bure!!
 
Team Mondi na wapenzi wote wa Mondi msibishane na team stress jamani wapiga kura wenyewe hawafiki hata kumi please relax hawana cha kuzungumza hao wivu tu umewajaa.
 
Unafikiri tuna shida nao hawa, wanatulazimisha.
Wanamlisha kiba uchafu kunuka..hadi uruma., dogo mpaka anashindwa kufikiri.
 
Back
Top Bottom