binadamu hawana jema, ukwanini mwingi sana.. huyo h baba anamatatizo yake na huko instagram ndio anazngua kinoma yani na mashabiki wasivyo na adabu wanampa makavu mpaka ameweka private, me alisha nipaga block long time
Amefanya nini huko instagram huyo jamaa tupe habari mkuu
Yaani mojawapo ya sababu zinazofanya nimpende diamond ni hiyooooo ya kutopenda bifu na wasanii wenzie!!!ukiona msanii anabifu na diamond basi ujue huyo msanii ndio msharii!!
Mkuu anayetafuta bifu na Diamond Sio mshari tu, bifu linamnufaisha pia hivyo analing'ang'ania apate maslahi..!
Haya Asante mpwa wa Heaven on Earth. Japo sina uhakika kama nacheketuwa hapa.
kulipa kisasi ni haki kwa uadilifu kama alikutenga na wewe mtengeBaada ya Maneno ya chini kwa chin kutoka kwa baadh ya watu kwamb hawa watu hawaiv Chungu kimoja...Kupitia Interview mbali mbali Diamond amekua akisema hana ugomvi na Davido mkali kutoka Nigeria amedhbitisha hlo kwa Kupost picha yake na Diamond kupitia Account yake ya Facebook na kusema ni jambo jema kuperfom tena jukwaa Moja na mkali huyo kutoka Tanzania katika tuzo za MTV!
Big up kwao #CHIBU #DAVIDO