Huyu Idrissa kwann asiteuliwe kuwa waziri wa nishati na madini jamaniii?
Ila i don think kama Davido was serious,kwenye tweet yake kuna ka icon ka kuonea Aibu anachokisema....i believe he wasn't serious
Karibu nyumbani idris, ngoja nikupe yaliyo jiri while ulikuwa uko mjengoni
1. Wema kaachana na chibu, chibu kajiegesha kwa zari "the boss lady".
2. Kuna ugonjwa mpya wa "tezi dume", unatibiwa marekani tu na unawapata sana sana viongozi wakubwa wa nchi
3. Kama una account Mkombozi ukifika kacheki, unaweza kuwa umepata gawio la escrow. Wengine wamepata mara tatu ya ulioshinda
Welcome back home
Na escrow mngetokwa povu hivi km la kumdidi davidoo tungekuwa mbali nchi hii na hela zingesharudi