Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
Huyu Idrissa kwann asiteuliwe kuwa waziri wa nishati na madini jamaniii?
Hivi Songea ni Jiji au halmashauri? Halafu Ccm ndio inaajili watu makenge kama wewe kuja kukesha mitandaoni?
Kinacho endelea huko instagram jamani ni aibu kwa watanzania tumeonyesha uduni wa mawazo na ufinyu wa akili daah shame aisee
Khaaa jamani jamani!!!
Hivi kuna watu wanalipwa?? Maana huu ni zaidi ya wehu kabisa. Kule kwa mume wa Zari nako ni full matusi tu......si ustaarabu hata kidogo!!
And in fact, si tu kwamba tunahitaji collabo na wa-Naija bali tunaihitaji Nigeria kwa ujumla wake linapokuja suala zima la burudani ikiwa tunataka kuupeleka muziki wetu mbele! Tutake tusitake, Nigeria ndio US ya Africa sasa ni upuuzi kuanza kutengeneza mabifu na mashabiki wa Nigeria.Bora wewe umeshirikisha ubongo wako kwenye hili maana nakumbuka Diamond aliposhinda tuzo Davido alimpongeza na screenshort ya Insta tuliwekewa hapa.
Watu wasisahau tu bado tunahitaji sana Collabo na Wanaija kuliko wao wanavyotuhitaji.
Mwisho wa siku hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpangia mwingine nini cha kuandika kwenye wall yake.
Sasa hao wanaotukana kwa mume Zari wamekumbwa na nini tena... manake juzi tu hapa Team Wema walikuwa wanambembeleza Ivan amgonge Wema... au amewapa makavu live!!!Khaaa jamani jamani!!!
Hivi kuna watu wanalipwa?? Maana huu ni zaidi ya wehu kabisa. Kule kwa mume wa Zari nako ni full matusi tu......si ustaarabu hata kidogo!!
Unaona sasa... ndo matatizo ya kuishi Namtumbo haya! Wewe hukwenda Club bali na wenzako mlienda disco!!! Hata huku kwa wajanja hawawezi kwenda Club wakati wa graduation ya form IV, itakuja kuwa huko?! Anyway, "Club" yenu inaitwaje? Maji maji Dancing Club, au?Mara ya mwisho kwenda Club ilikuwa graduation ya form four. Club wanaenda watoto wa sekondari. Jitu zima kujichanganya na watoto wa sekondari Club ni aibu sana
Unasemaje wewe? Hebu subiri ifike April Fools Day halafu muweke tangazo kwamba watumishi wanaotaka kuhamia Dar walete maombi yao sasa uone hata kama Mkuu wa Mkoa mtakuwa nae! By the way, hivi utakuwa unaifahamu April Fools Day kweli wewe??!! Manake ni mambo ya mjini haya....Karibu sana kwenye jiji la maraha Songea. Ukija huku hautatamani kurudi tena Dar. Kuna mwalimu mmoja wa sekondari alipata uhamisho wa kikazi kutoka Songea kuja huko Dar akajinyonga kwa hasira.
Kinachotokea ni ujinga na ulimbukeni uliopita mipaka na kwa mtu yeyote mwenye akili zake lazima ataonea aibu ujinga huu... na ndio maana hata mimi nilisema kabla kwamba hata kama Diamond alitaka kujibu asingejibu the way alivyojibu as if Davido ame-target wa-Tanzania wakati yeye amewalenga BBA! Na hata ukiangalia mashabiki wa Nigeria walivyaonza Tweet zao, walikuwa moja kwa moja wanai-target BBA...Watz wana (Mimi simo) laana. Haiwezekani utoe hela uweke bundle ili upate nafasi ya kumtukana mtu wakati Huo huo wazee wako kijijini wanakufa njaa, haiwezekani unalia ajira huna wakati mtaji unaweka bundle ya kutukana watu mitandani. Kweli davido amembeba Sana diamond ila diamond anaonekana Hana shukrani. Hakupaswa kujibu. Davido aliandika kuhusu big brother kwani hata last year walidai elikem ndo alishinda ila walidanganya kumpa dillish
Kinachotokea ni ujinga na ulimbukeni uliopita mipaka na kwa mtu yeyote mwenye akili zake lazima ataonea aibu ujinga huu... na ndio maana hata mimi nilisema kabla kwamba hata kama Diamond alitaka kujibu asingejibu the way alivyojibu as if Davido ame-target wa-Tanzania wakati yeye amewalenga BBA! Na hata ukiangalia mashabiki wa Nigeria walivyaonza Tweet zao, walikuwa moja kwa moja wanai-target BBA...
Sidhani kama kujibu kwake kulitokana na Utandale wake... ninachoona ni kwamba alikosa subira... alivyoona "cheated again..! basi bila shaka akadhani hiyo again inamuhusu yeye kwani wapo wa-Naija ambao pia walilalamikia Davido kukosa tuzo za ChO pamoja na kuwa nominated in 5 categories...! Na busara wala haikuwa kuwauliza management yake especially kama management yenyewe ni hii akina Bab Tale... busara kwa Diamond ingekuwa ni ama kukaa kimya na kama ilimuumiza sana, angem-call Davido na kumuuliza in other way round, kwa mfano ki utani utani, mathalani "vipi, mbona nakuona kama umepanic home boy kuchukua BBA" Hapa Davido angefunguka tu...Akili hizo diamond anazo basi? Diamond ametoboa ila haimaanishi Ana upeo. Majibu yale ni full udwanzi kwana alitakiwa awasiliane na mgt kabla ya kujibu. Watandale watandale tu
Haya sasa davido yuko Uganda....hii ni aibu kwa wale wote walio kua wanatukana bila kuelewa,cheki maneno ya navio hapa
Yaani ni aibu sijui Watanzania tukoje na haya mambo ya kutukana mitandaoni
Halafu yule DJ aliechoka ndio alianza na hiyo kampeni ..... wamenikera wamenikera hao watu