Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido ni msanii peke mkubwa wa kwanza kumpongeza diamond baada ya kupata tuzo 3 chanel o.

Mpaka kesho diamond anapata mafanikio kwa wimbo mmoja tu wa number 1 remix ambapo uwepo wa davido ndo umesababsh yote haya.

Diamond alitakiwa atulie azungumze na watu wakarbu lakin kakurupuka davdo katukanwa wakat stil hamchukii dimond.
 
Kwanini Diamond alaumiwe.... ye ndio aliwatuma wakaandike matusi kule kwenye akaunti zao????? umemuona Diamond hukuwaona Albert Msando, Choka Dj na wengineo.......

Nawalaumu wale wanaotumia hiyo mitandao kazi yao ikiwa ni kutukana tu..... wamenichosha hao
 
kwann mnatoka povu hivi kumtetea davido

hamna povu diamond ni binadamu anakosea.

Alikurupuka moyon anajisuta lakin kwa kuwa watz weng wanaakil za matope kama nay wa wa mitego alyetangaza vita kwa dj atakayepga nymbo za davido.
Wanamtukana had marehemu mama yake.bila davdo tz bongoflav kimataifa isngepaa kirahs kikubwa hamchukii diamond.
 
Kwanini Diamond alaumiwe.... ye ndio aliwatuma wakaandike matusi kule kwenye akaunti zao????? umemuona Diamond hukuwaona Albert Msando, Choka Dj na wengineo.......

Nawalaumu wale wanaotumia hiyo mitandao kazi yao ikiwa ni kutukana tu..... wamenichosha hao

Heaven ni one of the people naowaheshmu jf.Hapa hujaona tatzo diamond kuandka status inayomjbu davido.Hao uliowataja hawana ushawish mkubwa kama DIAMOND alipoandka matusi yalzd si UUNGWANA
 
Status ya davido aliyoandka N they cheat again lol! imetafsiriwa vbaya na watanzania na kuonyesha kipaj chao cha matusi WAKAMTUSI MAMA YAKE.
Diamond ndie mtu wa kwanza anatakiwa kulaumiwa kwan alkurupuka baada ya kuandika yeah we cheat again same night..yeye ndie aliyewafanya watu wamshambulie DAVIDO kuwa alimansha sisi tumecheat kupata tuzo.
UKWELI NI HUU.Davido aliandka vile juu ya tukio la CRIS BROWN NA mpenz wake KARUUCHE ambao walidanganya duniani wameachana na kusameheana.
DAVIDO aliona kama drama! akaona wametudanganya tena kwan si mara ya kwanza kutengana kama wana bifu na kurudiana.Ukifuatilia twter utaona BROWN na KARUUCHE waktukanana juu ishu ya DRAKE huku still wanapendana na bado wapenz.
PILI sisi hatutoi tuzo wala hatupang bg brother kama davdo mnasema aliongelea juu ya ushnd wa big brother bas haiwahusu nyiny inawahus big brother ambao ndio wanaendesha mchakato wa mshnd.
NDO MANA KASEMA THEY CHEAT AGAIN wao bba si nyie nigeria wamekosa ushnd karbu miaka 5 mfululzo.DIAMOND JIFUNZE MAISHA NI WATU

Mh mi nimeshndwa kujua tatizo ni lipi kwny hlo neno
 
Wabongo weng tuko safi sana kwa kukurupuka na tafsiri zisizo na maana,yaani mtu hata hajui hili wala lile ana kurupuka na matusi cha ajabu hadi wasanii wakubwa nao wakajazana kutusi.Hadi kero.
 
Wewe unayemtetea Davido huwajui wanigeria vizuri. Hao watu dharau zimejaa mpaka kwenye miguu. Ingia kwenye blog zao walivyotukana kwamba wao wana stahiri ushindi na sio nchi kama TZ ambayo haijui kuongea English.

Tatizo wabongo tunapenda kuwaona watu wa nchi nyingine kama miungu ata kama wakikudharau. Wanageria ata ukikutana nao nchi za nje, kawaida yao kuipondea Tanzania.

We uliyotoa hii mada huwajui wanigeria unawasikia tu

Ndugu tujiamini na nchi yetu na watu wetu, acha kuumiza kichwa eti Davido katukanwa. Hao watu wanastairi hivyo kwasababu wao wenyewe respect ndogo sana
 
Heaven ni one of the people naowaheshmu jf.Hapa hujaona tatzo diamond kuandka status inayomjbu davido.Hao uliowataja hawana ushawish mkubwa kama DIAMOND alipoandka matusi yalzd si UUNGWANA

What if na yeye aliandika utani kama Davido....., mimi sijapenda wale mamluki waluotukana nilifungua page yake naona comment karibu 600 hizo unakutana na lugha ya kiswahili yenye matusi ajabu

Btw ulijuaje kuwa Davido alikua anawaongelea Chris na karueche
 
Davido ndo nani,maana namsikia kwenye bigbrother,kwenye escrow etc
 
wewe unayemtetea davido huwajui wanigeria vizuri. Hao watu dharau zimejaa mpaka kwenye miguu. Ingia kwenye blog zao walivyotukana kwamba wao wana stahiri ushindi na sio nchi kama tz ambayo haijui kuongea english.

Tatizo wabongo tunapenda kuwaona watu wa nchi nyingine kama miungu ata kama wakikudharau. Wanageria ata ukikutana nao nchi za nje, kawaida yao kuipondea tanzania.

We uliyotoa hii mada huwajui wanigeria unawasikia tu

ndugu tujiamini na nchi yetu na watu wetu, acha kuumiza kichwa eti davido katukanwa. Hao watu wanastairi hivyo kwasababu wao wenyewe respect ndogo sana

usipende kujumuisha mambo ina watz hatuna dharau.tatzo n kukurupuka katutukanaje hebu nipe maana ya
na wametudanganya tena lol! Wewe au watz ndo waandaaj wa tuzo na mmedanganya vp status haituhusu
 
Kwanini Diamond alaumiwe.... ye ndio aliwatuma wakaandike matusi kule kwenye akaunti zao????? umemuona Diamond hukuwaona Albert Msando, Choka Dj na wengineo.......

Nawalaumu wale wanaotumia hiyo mitandao kazi yao ikiwa ni kutukana tu..... wamenichosha hao

Shida ni kwamba Nassib alijibu tweet ya Davido, na kwa kuwa naye ana fans wake ni rahisi kuungana naye katika kujibu. Hapo ndio lawama kwa Nassib zinapokuja.
Ova
 
Hii tabia si nzuri kwa kweli,wabongo ushabiki wa bendera unatuumiza,yalianza kwa dai na kiba,mara zari na wema na sasa advanced level to davido...sidhani kama wengi wetu hiyo tweet ya jamaa tuliielewa mpaka kumwagia matusi hivyo.
 
Wapo walo coment pale watanzania wenye akili zao halafu tusijidharau kwamba watanzania tuwe watu wakuwaogopa wengine kifup watanzania wa enzizile si waleo Wanigeria walichonacho nas tunacho, sio watudharau nasi tuwekimya no
 
Wewe unayemtetea Davido huwajui wanigeria vizuri. Hao watu dharau zimejaa mpaka kwenye miguu. Ingia kwenye blog zao walivyotukana kwamba wao wana stahiri ushindi na sio nchi kama TZ ambayo haijui kuongea English.

Tatizo wabongo tunapenda kuwaona watu wa nchi nyingine kama miungu ata kama wakikudharau. Wanageria ata ukikutana nao nchi za nje, kawaida yao kuipondea Tanzania.

We uliyotoa hii mada huwajui wanigeria unawasikia tu

Ndugu tujiamini na nchi yetu na watu wetu, acha kuumiza kichwa eti Davido katukanwa. Hao watu wanastairi hivyo kwasababu wao wenyewe respect ndogo sana

Hata ushindi wa Idri$ BBA hawa jamaa wa Nigeria hawaamini na wametukana sana , Na sikutegemea kama kuna mtanzania anaweza kuanzisha uzi kama huu.
 
Back
Top Bottom