wewe unayemtetea davido huwajui wanigeria vizuri. Hao watu dharau zimejaa mpaka kwenye miguu. Ingia kwenye blog zao walivyotukana kwamba wao wana stahiri ushindi na sio nchi kama tz ambayo haijui kuongea english.
Tatizo wabongo tunapenda kuwaona watu wa nchi nyingine kama miungu ata kama wakikudharau. Wanageria ata ukikutana nao nchi za nje, kawaida yao kuipondea tanzania.
We uliyotoa hii mada huwajui wanigeria unawasikia tu
ndugu tujiamini na nchi yetu na watu wetu, acha kuumiza kichwa eti davido katukanwa. Hao watu wanastairi hivyo kwasababu wao wenyewe respect ndogo sana