Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!


Yaani tunaonekana wapumbavu... kutukana kiswahili utadhani anaelewa... sijui https://jamii.app/JFUserGuide your mother na mama ake keshafariki....

Huyo Choka kumbe ndio tabia yake
 
IDRISS, WEMA WAKUTWA POZI TATA

WEMA: AN HAPPY WITH HIS SUCCESS

IDRISS:WEMA NI KAMA DADA YANGU

DIAMOND AHAHA KUZUIA UKARIBU WA WEMA NA IDRISS

IDRISS, WEMA SIYO SIRI TENA

MAMA WEMA: NAPENDA WAOANE KABISA SI KUCHEZEANA

WEMA: IT WAS MY DREAM TO HAVE HIM IN MY SOUL SINCE 2006

IDRISS AMTESA DIAMOND

IDRISS, WEMA WAMFANYA DIAMOND KUWA MASELE CHA POMBE

KADINDA ROHO KWATU UHUSIANO WA IDRISS NA WEMA

MAMA IDRISS: SIWEZI KUINGILIA MAPENZI YAO

Mdada aibuka toka Yombo Dovya: NIMEZAA NA IDRISS TOKEA 1999

Mdada toka Shimo la udongo: IDRISS NI MUME WANGU HALALI WA NDOA

AUNTY EZEKIEL NA WEMA NDANI YA BIFU ZITO, KISA IDRISS

IDRISS AONYWA KUTOKUWA KARIBU NA LULU, YASIJE MKUTA YA KANUMBA

KAJALA AWABWAGA SHILOLE, WEMA,WOLPER, LULU, AUNTY NA ODAMA JUU YA PENZI LA IDRISS

😀😀😀😀 Najaribu kutengeneza heading za magazeti.ya udaku bongo baada ya Idriss kuukwaa ushindi wa BBA
 
Yaani tunaonekana wapumbavu... kutukana kiswahili utadhani anaelewa... sijui https://jamii.app/JFUserGuide your mother na mama ake keshafariki....

Huyo Choka kumbe ndio tabia yake
Halafu mtu bila aibu anaendelea eti "fuc'k your dead mother...!" Nitamuona Chibu muungwana akiomba radhi kwa niaba ya hawa mashabiki maandazi...
 
Akili hizo diamond anazo basi? Diamond ametoboa ila haimaanishi Ana upeo. Majibu yale ni full udwanzi kwana alitakiwa awasiliane na mgt kabla ya kujibu. Watandale watandale tu

Huwa bado nina mashaka makubwa kama Diamond ndio huwa anapost status zote kwenye hizo account zake, maana ninavyojuwa mimi Domo Kingereza kafundishwa na Wema je Domo ana uwezo wa kusoma kingereza na kupata tafsiri sahihi? Na mbaya zaidi mashabiki zake wanampeleka shimoni kwa nguvu kubwa.
 
WHAAAAAAT? DJ Choka huyu huyu ndio alianzisha huu upumbavu? Huyu jamaa na sifa sifa zake za kupenda kujiweka karibu na wasanii zinamfanya awe mpumba'vu.
 
Kauli ya Davido haikuwa na cha kukijua vizuri Kiingereza wala nini... hata kama ni mtalaamu wa Kiingereza namna gani, bado usipofahamu what's behind Davido's mind huwezi kuja na jibu sahihi hata kidogo! Sentence was blank clear, "cheated again..!" kwahiyo mtu ni lazima ufahamu ni nini kilichokuwa cheated again... sina shaka ya ni nani... moja kwa moja aliwalenga BBA.
 
WHAAAAAAT? DJ Choka huyu huyu ndio alianzisha huu upumbavu? Huyu jamaa na sifa sifa zake za kupenda kujiweka karibu na wasanii zinamfanya awe mpumba'vu.

Ni yeye ndio alianza hiyo kampeni...... akaona kwenye akaunti yake haitoshi akawa anaenda ku comment na kwenye page za watu wengine wafanye hiyo campaign
 

Matola that's too much bana.....

Kwa hiyo vile anavyoongea katika interview huwa inakuwaje??...
 
Nimeipenda hii post ya Navio... peace & love.

Bora wao yani mie sikujua issue kama itakua serious kiasi hiki.Tatizo la wabongo wengi akili zao wameshikiwa na watu huwa hawawezi kureason kitu.Nimesikitishwa na kitendo wanachoendelea kumtukania mama yake ili hali ameishafariki hawajui tu wanamuumiza kiasi gani
 
Kama hauna cha kufanya tafadhali usifanye humu,ficha upumbav wako kwa kusoma ya wenzio tu inatosha.

alichokisema laki si pesa ni kweli tupu, wanaoishi dar wote wanajiona wazawa kama wazaramo na wajanja kuliko kumbe wote wakuja tu na mbio za mwenge, binafsi niliishawahi kushuhudia pale mbezi gari toka arusha likizomewa eti washamba karibuni mjini. anaezomea kashikilia box la maji ya azam.
 
Matola that's too much bana.....

Kwa hiyo vile anavyoongea katika interview huwa inakuwaje??...

hahahahaaa na mimi ndio najiuliza hapa labda huwa anakuwa amemeza memory card iliyorekodiwa majibu,
mtu akiamua kukuchukia bana!!!
 
Paula bhana... kwani mtu akishika box la maji ya Azam ndo anakuwa mshamba? Au ni kutokana na ule ukweli kwamba ukiwa wa hapa hapa town kufanya baadhi ya biashara inakuwa sio!!! Unanikumbusha nilipomaliza form four... mwenyewe nikajifanya mjasiria mali na kuanza kuuza juicy lakini viwanja vyangu vilikuwa mbali kishenzi na mitaa ya home... lakini hata huko mbali unakaa kwa machale, wana wasije wakakushtukia kwamba unauza juicy!
 
Tatizo ni kwamba wa tz wamedanganywa na kikwete na ccm yake kwamba uzalendo kwanza. Badala ya kuwatukana clouds ambao hawaeleweki katika game la mziki wetu, wao wanamtukana davido ambaye industry yao huko naija imetoboa kweli kweli. Jifanyeni wazalendo wa kutukana watu nje ya nchi wakati tunasaidiwa. Naibu Waziri masele alimkashifu balozi wa uingereza halafu ccm wanatetea hawaoni kama ni kosa. Sasa unamlaumu dj choka ambaye ni zero!!!
 

hahahahahahaaaa umetisha aisee
 
Status ya Davido aliyoandka ''N they cheat again lol!'' imetafsiriwa vibaya na watanzania na kuonesha kipaji chao cha matusi WAKAMTUSI MAMA YAKE.

Diamond ndie mtu wa kwanza anatakiwa kulaumiwa kwani alikurupuka baada ya kuandika ''Yeah we cheat again same night'' Yeye ndiye aliyewafanya watu wamshambulie DAVIDO kuwa alimaanisha sisi tumecheat kupata tuzo.

UKWELI NI HUU, Davido aliandka vile juu ya tukio la CRIS BROWN NA mpenzi wake KARUUCHE ambao walidanganya duniani wameachana na kusameheana.

DAVIDO aliona kama drama! akaona wametudanganya tena kwani si mara ya kwanza kutengana kama wana bifu na kurudiana.

Ukifuatilia twiter utaona BROWN na KARUUCHE wakitukanana juu ya ishu ya DRAKE huku still wanapendana na bado wapenzi.

PILI sisi hatutoi tuzo wala hatupangi big brother kama Davido mnasema aliongelea juu ya ushindi wa big brother basi haiwahusu ninyi inawahusu big brother ambao ndio wanaendesha mchakato wa mshndi.

NDIO MAANA KASEMA THEY CHEAT AGAIN wao BBA si nyie Nigeria wamekosa ushindi karibu miaka 5 mfululzo.DIAMOND JIFUNZE MAISHA NI WATU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…