Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Haya sasa davido yuko Uganda....hii ni aibu kwa wale wote walio kua wanatukana bila kuelewa,cheki maneno ya navio hapa
Ufafanuzi wangu hauzungumzii comments mkuu. Nazungumzia tweet ya Davido. Na wote walio comment tofauti huenda nao wameelewa vibaya kama Nassib na baadhi ya Watanzania wengine.
Ndio maana nikasema, hiyo Tweet ya Davido imekuwa kama ujumbe wa muziki (hasa Taarab) kwa anayesikiliza kuhisi kaimbwa yeye wakati mtunzi wala hamjui.
So usiunganishe maudhuhi ya tweet na comments za watu wengine, Kwani wewe hiyo comment yako inaendana na kilicholetwa na mleta uzi huu?!
Labda ungesema wagomvi wetu ni wale waandika comments kwenye tweet ya Davido, lakini kuwaacha hao na kumng'ang'ania Davido naona nasi tunakuwa hatujaelewa tweet.
Halafu hayo mawazo ya anayekutukana nawe mtukane unayatoa wapi? Yaani kutukana watu mtandaoni ndio solution ya tatizo kwa Watanzania?!
Kiukweli tumewazidi sana busara Wanaija, ukiishi nao japo kidogo utaelewa nachokisema. Kwa linaloendelea mtandaoni ni sawa na kujiweka kapu moja na vichaa.
Ova
Huyu Idrissa kwann asiteuliwe kuwa waziri wa nishati na madini jamaniii?
Kwa kweli tuwaache tu wasolve wenyewe issue zao. Ni watu wazima, so naamini watayamaliza kiutu uzima zaidi. I pray upepo huu usiharibu urafiki wao.
Status ya Davido aliyoandka ''N they cheat again lol!'' imetafsiriwa vibaya na watanzania na kuonesha kipaji chao cha matusi WAKAMTUSI MAMA YAKE.
Diamond ndie mtu wa kwanza anatakiwa kulaumiwa kwani alikurupuka baada ya kuandika ''Yeah we cheat again same night'' Yeye ndiye aliyewafanya watu wamshambulie DAVIDO kuwa alimaanisha sisi tumecheat kupata tuzo.
UKWELI NI HUU, Davido aliandka vile juu ya tukio la CRIS BROWN NA mpenzi wake KARUUCHE ambao walidanganya duniani wameachana na kusameheana.
DAVIDO aliona kama drama! akaona wametudanganya tena kwani si mara ya kwanza kutengana kama wana bifu na kurudiana.
Ukifuatilia twiter utaona BROWN na KARUUCHE wakitukanana juu ya ishu ya DRAKE huku still wanapendana na bado wapenzi.
PILI sisi hatutoi tuzo wala hatupangi big brother kama Davido mnasema aliongelea juu ya ushindi wa big brother basi haiwahusu ninyi inawahusu big brother ambao ndio wanaendesha mchakato wa mshndi.
NDIO MAANA KASEMA THEY CHEAT AGAIN wao BBA si nyie Nigeria wamekosa ushindi karibu miaka 5 mfululzo.DIAMOND JIFUNZE MAISHA NI WATU.
Wapo walo coment pale watanzania wenye akili zao halafu tusijidharau kwamba watanzania tuwe watu wakuwaogopa wengine kifup watanzania wa enzizile si waleo Wanigeria walichonacho nas tunacho, sio watudharau nasi tuwekimya no
Status ya Davido aliyoandka ''N they cheat again lol!'' imetafsiriwa vibaya na watanzania na kuonesha kipaji chao cha matusi WAKAMTUSI MAMA YAKE.
Diamond ndie mtu wa kwanza anatakiwa kulaumiwa kwani alikurupuka baada ya kuandika ''Yeah we cheat again same night'' Yeye ndiye aliyewafanya watu wamshambulie DAVIDO kuwa alimaanisha sisi tumecheat kupata tuzo.
UKWELI NI HUU, Davido aliandka vile juu ya tukio la CRIS BROWN NA mpenzi wake KARUUCHE ambao walidanganya duniani wameachana na kusameheana.
DAVIDO aliona kama drama! akaona wametudanganya tena kwani si mara ya kwanza kutengana kama wana bifu na kurudiana.
Ukifuatilia twiter utaona BROWN na KARUUCHE wakitukanana juu ya ishu ya DRAKE huku still wanapendana na bado wapenzi.
PILI sisi hatutoi tuzo wala hatupangi big brother kama Davido mnasema aliongelea juu ya ushindi wa big brother basi haiwahusu ninyi inawahusu big brother ambao ndio wanaendesha mchakato wa mshndi.
NDIO MAANA KASEMA THEY CHEAT AGAIN wao BBA si nyie Nigeria wamekosa ushindi karibu miaka 5 mfululzo.DIAMOND JIFUNZE MAISHA NI WATU.
Ni kweli Davido ana mchango kwenye mafanikio ya Diamond!Davido ni msanii peke mkubwa wa kwanza kumpongeza diamond baada ya kupata tuzo 3 chanel o.
Mpaka kesho diamond anapata mafanikio kwa wimbo mmoja tu wa number 1 remix ambapo uwepo wa davido ndo umesababsh yote haya.
Diamond alitakiwa atulie azungumze na watu wakarbu lakin kakurupuka davdo katukanwa wakat stil hamchukii dimond.
Watz wana (Mimi simo) laana. Haiwezekani utoe hela uweke bundle ili upate nafasi ya kumtukana mtu wakati Huo huo wazee wako kijijini wanakufa njaa, haiwezekani unalia ajira huna wakati mtaji unaweka bundle ya kutukana watu mitandani. Kweli davido amembeba Sana diamond ila diamond anaonekana Hana shukrani. Hakupaswa kujibu. Davido aliandika kuhusu big brother kwani hata last year walidai elikem ndo alishinda ila walidanganya kumpa dillish
Haya sasa davido yuko Uganda....hii ni aibu kwa wale wote walio kua wanatukana bila kuelewa,cheki maneno ya navio hapa
Status ya Davido aliyoandka ''N they cheat again lol!'' imetafsiriwa vibaya na watanzania na kuonesha kipaji chao cha matusi WAKAMTUSI MAMA YAKE.
Diamond ndie mtu wa kwanza anatakiwa kulaumiwa kwani alikurupuka baada ya kuandika ''Yeah we cheat again same night'' Yeye ndiye aliyewafanya watu wamshambulie DAVIDO kuwa alimaanisha sisi tumecheat kupata tuzo.
UKWELI NI HUU, Davido aliandka vile juu ya tukio la CRIS BROWN NA mpenzi wake KARUUCHE ambao walidanganya duniani wameachana na kusameheana.
DAVIDO aliona kama drama! akaona wametudanganya tena kwani si mara ya kwanza kutengana kama wana bifu na kurudiana.
Ukifuatilia twiter utaona BROWN na KARUUCHE wakitukanana juu ya ishu ya DRAKE huku still wanapendana na bado wapenzi.
PILI sisi hatutoi tuzo wala hatupangi big brother kama Davido mnasema aliongelea juu ya ushindi wa big brother basi haiwahusu ninyi inawahusu big brother ambao ndio wanaendesha mchakato wa mshndi.
NDIO MAANA KASEMA THEY CHEAT AGAIN wao BBA si nyie Nigeria wamekosa ushindi karibu miaka 5 mfululzo.DIAMOND JIFUNZE MAISHA NI WATU.
mmmmmhhhhhh naona aibu mimi jamani
Akili hizo diamond anazo basi? Diamond ametoboa ila haimaanishi Ana upeo. Majibu yale ni full udwanzi kwana alitakiwa awasiliane na mgt kabla ya kujibu. Watandale watandale tu