Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Matola watu tunatofautiana uelewa, na pia tonafutiana jinsi ya kuhandle hisia zetu. Inawezekana wengi wetu tulielewa ndivyo sivyo, its ok. But reactions zetu hazikuwaa nzuri. Sijapenda walivyomtukana davido, kuna njia za kistaarabu tu za kumfikishia mtu ujumbe kuwa ulichosema hatujakipenda. Why insulting his dead mother?Nchi yetu imeshafeli kama Taifa na mtu mmojammoja hata Membe kwenye sakata la meno ya Tembo amelihutubia bunge kwamba wazungu wanatuonea "gere".
Hivyo usiwashangae wale wa vibundle vya promosheni vya mb50 kumponda Davido without know how.
Sasa kama mtu role model wake ni wena sepetu, ney ,sijui petit ,unategemea nini?
Hukumbuki p-square walivyokuja bongo wakasema eti hawamjui diamond wala hawajawahi msikia. Wakati Obama "the world's president" alivyokuja bongo alimtaja hasheem thabit ambaye ata NBA hafanyi vizuri, just Because ya ustaarabu na kuthamini mchango wa watanzania.
you think poorely.
Andika kiswahili Bob!! Halafu unaquote habari yote ndefu then unaandika uharo mfupi hivyo.
Mleta uzi umebugi meeen!! Tena sana
Kama Davido kajitetea kwa style hiyo basi sawa lakini ukweli haingii akilini kusema kuwa Alikuwa ana waongelea Criss brown na gf wake. Sisi sio watoto
Halafu Huu mtindo wa watanzania kujidharau na kukubali kuchukuliwa poa uishe aisee. Una mtetea kwa grounds za kitoto mno,
Utakuwa hawajui vizuri wanigeria wewe na Watu wa afrika magharibi kwa ujumla. Wana nyodo hakuna mfano,wanajiona wao ndio top kwa Afrika.
Davido hana lolote,he deserved all the insults. Kauli yake alimaanisha kuwa tuna pendelewa.
Big up Dimond,Hata kama Davido ndio alikutoa kimziki nje ya mipaka Lakini usikubali kudhalilishwa namna hiyo.
Mleta mada nenda kajipange,wanigeria sio watu,afadhali ya jirani zetu wakenya kuliko hao watu
Andika kiswahili Bob!! Halafu unaquote habari yote ndefu then unaandika uharo mfupi hivyo.
Hahahaaaaa
Umejieleza vizuri.. But the thread ought to be merged to the main one.
Kilichokuchekesha hapo ni nini hasa..?!??
Huyo domo hajitambui ukiwa star lazima ufikirie nini cha tweet
Huwa bado nina mashaka makubwa kama Diamond ndio huwa anapost status zote kwenye hizo account zake, maana ninavyojuwa mimi Domo Kingereza kafundishwa na Wema je Domo ana uwezo wa kusoma kingereza na kupata tafsiri sahihi? Na mbaya zaidi mashabiki zake wanampeleka shimoni kwa nguvu kubwa.