Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Matola watu tunatofautiana uelewa, na pia tonafutiana jinsi ya kuhandle hisia zetu. Inawezekana wengi wetu tulielewa ndivyo sivyo, its ok. But reactions zetu hazikuwaa nzuri. Sijapenda walivyomtukana davido, kuna njia za kistaarabu tu za kumfikishia mtu ujumbe kuwa ulichosema hatujakipenda. Why insulting his dead mother?Nchi yetu imeshafeli kama Taifa na mtu mmojammoja hata Membe kwenye sakata la meno ya Tembo amelihutubia bunge kwamba wazungu wanatuonea "gere".
Hivyo usiwashangae wale wa vibundle vya promosheni vya mb50 kumponda Davido without know how.
Last edited by a moderator: