Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Davido hajamsaidia Diamond.. Wamesaidiana, Davido through that remix imeongeza soko lake La East Africa. Ndio maana unamwona hata huyo Davido alienda South kwa Mafikizolo. Sio kwamba he is bigger its just strategy ya kuongeza soko. Wizkid is way better than Davido lakini hujiulizi why davido anapata show Africa zaidi ya Wizkid?? Yeye kafanya colabo kila pande ya Africa
Kamsaidia sana penye ukweli tuseme hata nchi nyingine wakiulizwa diamond mpaka wam refer yule aliyeimba na Davido ndo imemsaidia sana akajulikana almost Africa nzima kwenye collabo lazima tu appreciate collaboration yao imewasaidia wote hasa hasa kwa daimond
Usimislead....Davido ni zaidi ya wizkid within Nigeria, america, ulaya na hata Africa. Kinachofanya Davido achukiwe na waniger ni dharau tu. Sina maana wizkid ni chini Sana ila ukimlinganisha na davido davido is far better
Ww unamtetea Davido saana !! Wakati ujui tabia zake
Alishawahi kutweet ujinga kuhusu weezy kid
After CHOAMVA akasema "kuna watu wanafurahia ushindi lakini awakustahili"
After BBA akatweet "N they cheat again 🙈lol "
Mukamtetea na munaendelea kumtetea !!
Sasa kapost tena " Tayo kazawadiwa Pesa nyingi na billionare wa kinaija ambazo ni pesa nyingi kuliko Pesa alizoshinda Idris "
Hivi unapataje nguvu ya kumtetea Mtu kama uyo ?
Penden vya kwenu na mtetee vinavyowahusu .
Davido alimaanisha alichoandika🚶🚶🚶🚶
Kamsaidia sana penye ukweli tuseme hata nchi nyingine wakiulizwa diamond mpaka wam refer yule aliyeimba na Davido ndo imemsaidia sana akajulikana almost Africa nzima kwenye collabo lazima tu appreciate collaboration yao imewasaidia wote hasa hasa kwa daimond
Wanaija wengi wana dharau za kijinga sana kujiona wao ni wao tu wanaweza no one else than them hata huyo Tayo alikua ana tabia chafu huko mjengoni mwa Bba walizoea kujiona bora sana Africa sasa hyo kauli ya Tayo kupewa pesa inahusu nini Ya Idriss ndo ya heshima kiukweli wa Nigeria wanajiona bora na itazidi Ku wa cost
Dimondi amekuwa karibu na huyo Davido na anamjua kuliko sisi tunavyomjua.. Yawezekana anadeserve kujibiwa hivo, who knows?? Kaonesha chuki na dharau ya wazi kwa Watanzania kwanini tumchekee?? Lakini pia si busara kumtukana, watu wangemu ignore tu
Usimislead....Davido ni zaidi ya wizkid within Nigeria, america, ulaya na hata Africa. Kinachofanya Davido achukiwe na waniger ni dharau tu. Sina maana wizkid ni chini Sana ila ukimlinganisha na davido davido is far better
Ndomana sishangai wakimtukana
Je alimtaja diamond kwenye ile twit? Aliitaja Tz? Mbona mnajibu Kama mko old stone age?? Meen hii ni karne ya 21 hatupaswi kuendeshwa na hisia.
Assume alimlenga diamond....so mtu akikufanyia vibaya na wewe unamjibu kwa ubaya ndo mnavyofundiswa?? Diamond anafanya kazi ya fasihi ambayo inatakiwa ielimishe na iburudishe..... Ndo maana wanaitwa vioo vya jamii kwamba waioneshe jamii wapi pa kurekebisha kwa kuonesha njia. Msanii anatakiwa aiishi kazi yake.
Yani siku tususiwe na ngololo yetu ndo tutapata akili. Nyimbo za diamond kibao zilikuwepo why ile collabo na davido ndo ishinde tuzo kibaoooo nje ya Tz??? Watu watumie common sense ili mwisho wajue kuweka heshima kwa waliowainua (Mungu pamoja na wanadamu).
Ni aibu Sana mijitu Kama Monica (anayeaminika kipanga hapa mjini) eti nae alijibu hii movement. Nimempuuza bureeee
Ww umekalili et Davido yupo mbali than Wizzykid !! Lol🙈 in davido's voice
That doesn't mean akikudharau bado umnyenyekee tu... That project was win win to both
Wana dharau sana hiyo miziki yao watakua wanaskiliza wenyewe ndo mana big brother hata madhindano mengine hawatashinda wanajiona best Sana in Africa
Hahahaha kuwa juu ni subjective... Je umeangalia vigezo gani? Haha hata Tz iko juu ya marekani Kama utaangalia natural resources km gas, mafuta, mbuga, madini na mengine meeengi. Hope umenielewa
All in all,mie siungi mkono matusi lakini nawashangaa watanzania kwa unafiki wenu!Wageni na watu wa mataifa wengine mnawaona bora kuliko nyie!!Davido hakufanya poa,mi sio shabiki wa dai ila dai ni mtz mwenzangu!Hell no we didn't cheat!so to speak alivo retweet dai ni sawa tu!!Matusi ya wanaija mmeyaona!wanavoponda mmeona?tukemee matusi sio kupindisha tweet ya davido!!Ha we can do better pia!!Go! Go! Tz...hata bila Davido Nassib angefanya poa!!Sipendi urafiki wao uishe ila rafiki yako akikuzingua kisa ni rafiki utakaa kimya kama kondoo?no unampa makavu na urafiki unasonga na adabu ndo inakuwepo sasa!
Kuna watu wanatetea ujinga mpaka nashangaa... Yani kusoma huwezi basi hata picha unashindwa kuitafsiri??
Wemesahau cku hizi Tecno zimezagaa kitaani uku hata watoto wa chekechekea Wanazo Tunavote tu hata Sitti mtemvu angeenda Miss world tungevote tu ili aje na Crown kwa Nyerere poor Davido Poor naija
Chuki zetu juu ya dai zisitupofue!!ona sas Dangote kafanya yake!Wapi Rugeee!