Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Davido hajamsaidia Diamond.. Wamesaidiana, Davido through that remix imeongeza soko lake La East Africa. Ndio maana unamwona hata huyo Davido alienda South kwa Mafikizolo. Sio kwamba he is bigger its just strategy ya kuongeza soko. Wizkid is way better than Davido lakini hujiulizi why davido anapata show Africa zaidi ya Wizkid?? Yeye kafanya colabo kila pande ya Africa
Usimislead....Davido ni zaidi ya wizkid within Nigeria, america, ulaya na hata Africa. Kinachofanya Davido achukiwe na waniger ni dharau tu. Sina maana wizkid ni chini Sana ila ukimlinganisha na davido davido is far better