Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
wizkid ni mswahili afadhali hata davido.
bado niko neutral kwenye hili sakata la davido...but tangu nianze ku mfollow instagram jana nimeanza kumuelewa davido ni mtu wa namna gani...
1.ana utoto flani hivi wa kijinga
2.ana penda malumbano/ligi
3.ana maneno flani hivi ya kidada(sorry ladies sina nia mbaya)
4.ana dharau/ana majivuno
5.Ni limbukeni.
Angalia hizi post zake uta kubaliana na maneno yangu
wizkid ni mswahili afadhali hata davido.
Ndio uyu mswahili mwenzetu ndiomana kawa artist wa kwanz kutuwish happy indepence day kutoka Nigeria kajielewa kuwa yy n mswahili tu .
Suala la Video ulitaka aweke watu weuc ili Video irushiwe ndizi au
we unadhani huyo na davido na alikutwa kwenye industry ya mziki?huyu nae chizi tuu mnafki
anataka umaarufu kupitia davido
aende zake mi ht sijui anachoimba
huyu nae chizi tuu mnafki
anataka umaarufu kupitia davido
aende zake mi ht sijui anachoimba
swala la video ye kuchagua half ni uamuzi wake ili auze,hebu shuti video kijijini kwenu unafukuzana na mbuzi sijui nani atanunua
wizkid ni mswahili afadhali hata davido.
Achana nao Watz wanashobo Sana Davido ,Davido n nani yy ?
Kwenye ile tweet kuna lijamaa aliiretweet hivi "They didn't gv it to Our Tayo but They gv it to Idr hu don't deserve it " then Davido akajibu " I observe it "
Tatzo linakuja Watz wanaomtetea Davido awajaiona Post ya Twitter ila wameona Screen capture ya iyo Post , kama wangeona Mambo yaliyomo ndani ya post wasingeshangaa Davido alukua anawasapot Ndgu zake .
Ukienda Insta ndio unakuta wanaija wanatuc 👉Amna Elimu ,
Nchi yenu local gvmnt
Wajinga ,mashoga
Sasa watu kama ao ucwatukane unasubili nn ?
Kawida Adui akikupiga ngumi moja ww piga Mbili na Zaidi
Yule aliyemtukana Tuc zito Davido namtfuta nimpe zawadi
She nailed it 🙈Lol in Davido's Voice 🚶🚶🚶
huyu nae chizi tuu mnafki
anataka umaarufu kupitia davido
aende zake mi ht sijui anachoimba
sijapenda mood kuunganisha yangu na hii.m nlikuwa na picha za tweet za wabongo waliotukana hovyo wakiongozwa na aman michael.bt swez weka nimetendewa isvyo na mood
Binafsi Niko twitter. Hivi hujawahi kuona celeb anapost kitu alafu shabiki anaelewa kivyake na anajibu alivyoelewa? Mfano Leo penny amepost mtoto amelala akaweka na caption flani hivi followers wakaanza comment rest in peace
sijapenda mood kuunganisha yangu na hii.m nlikuwa na picha za tweet za wabongo waliotukana hovyo wakiongozwa na aman michael.bt swez weka nimetendewa isvyo na mood
Na escrow mngetokwa povu hivi km la kumdidi davidoo tungekuwa mbali nchi hii na hela zingesharudi
pokea like zangu like every day mpaka utakapoamua kujitoa jf
HAO wabongo wamenichosha na mitusi yao... wengine wanatukana kiswahili ye hata hakijui
kama kwa m-bongo kushinda amecheat (awe BBA au CHO) maana yake hatukustahili kushinda isipokua yeye au wao!!
na akisema ''again'' anarefer tukio,which is obviously la tuzo za chO....SA au nani kama wana mpango wa kuwashusha ni suala lao na SA.Wakishinda tu ndio inakua fair!jibu la chibu ni sahihi kabisa.
na tuzo aliopata domo kule kwao ni jibu mujarabu kwamba hakuna anaewashusha ila ni wakati tu.
kuuhsu kiki mwanzo kabisa wa thread hii kuna mtu anampinga Diamond kujibu vile akiona kwamba domo anatafuta kiki...so that was for him.Hata kama alimaanisha bba na cho wamecheat,kwa ushindi wa hawa watanzania wawili maana yake ni kwamba wapopo wanaona hatustahili kushinda chochote wakiwepo..ASITUZINGUE HAPA!