Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

I doubt if you worth even a minute of my time, ready spent 50 seconds... 5 left for "Like" clicking so as you can't exceed you're real worthy of less than a minute!

so what??? hahaha muda wako mi wa nini?? watu tunakuona tangia juzi unavohaha na vilugha vyako humu kutetea mapoyoyo wenzako zahahahahahaha
 
I doubt if you worth even a minute of my time, ready spent 50 seconds... 5 left for "Like" clicking so as you can't exceed you're real worthy of less than a minute!
Una jazba sana wewe mtu...tupia kwenye ignore list!una BP ya kupanda!
 
so what??? hahaha muda wako mi wa nini?? watu tunakuona tangia juzi unavohaha na vilugha vyako humu kutetea mapoyoyo wenzako zahahahahahaha
Baambie na nyaraka zake ndeefu!yani huyo anatumia nguvu na muda wake mwingi kusema kitu,asingetaka challenge angejifungia room amalizie dessertation yake ya 'falsafa'
 
Baambie na nyaraka zake ndeefu!yani huyo anatumia nguvu na muda wake mwingi kusema kitu,asingetaka challenge angejifungia room amalizie dessertation yake ya 'falsafa'

Hahahahahahahahahahaha umenivunja mbavuu.. Anafanyia dissertation JF kumbe hahaha umenimaliza
 
Sa' nimekupa hapo mifano ya mwaka jana walivyokuwa wanasema kwamba BBA wame-cheat? Hii ni quote baada ya BBA 2013 kutangazwa mshindi:Quote hii walikuwa wanaonesha kwamba wandaaji walikuwa wameshasafisha njia: Hayo yote ni mwaka jana..... mwaka huu wakadhani mambo yatakuwa tofauti lakini matokeo yake, mtu wao akapigwa chini kwa mara nyingine! Sina haja ya ku-quote hayo maoni ya Wanaija hapo juu lakini wote wanalalamika kwamba kwa mara nyingine, BBA wame-cheat huku wengine wakilalamikia regionalism! Aidha, soma maoni ya hao wan-Naija waliochangia tweet ya Davido hapo juu... out of five, wawili wameitaja BBA/Biggie moja kwa moja na mmoja amesema "they don't want to give it to a Nigerian....!" Haya sasa, "it" nini? Kwanini tu-assume ni tuzo za Channel O wakati topic under discussion ipo open kwamba ni BBA na wengine wametaja moja kwa moja?

Kwahiyo ikiwa watu wameanza kutoa mapovu tangu BBA ya mwaka jana na hadi sasa ukitembelea mitandao yao unakuta wanavyomwaga mapovu(Mhivi sasa wanajifariji na $ 350K alizopewa mtu wao), inaonesha wazi kwamba hiyo "again" ni hizo hizo tuzo za BBA!

Let me tell you this. Kabla sijafanya utafiti, hata mimi nilizani Davido amemaanisha hiyo "again" ame-include ChO awards lakini nilipofanya utafiti nikagundua Naijaz huwa wanafungua hadi Facebook fans page kwa ajili ya kampeni! Sasa inapotokea kwamba hata baada ya jitihada zote hizo bado wanapigwa chini; haishangazi kukuta wanatoka povu hasa ukichanganya na kiburi chao cha kujion wao ni super power kwa kila kitu!

nimekuelewa sanaaa
ahsante kunielewesha kaka (km sijakosea)
ila ngoja waje kukutukana sasa
 
Baambie na nyaraka zake ndeefu!yani huyo anatumia nguvu na muda wake mwingi kusema kitu,asingetaka challenge angejifungia room amalizie dessertation yake ya 'falsafa'
Naona unatapatapa sana tangu jana nilipoamua kuku-ignore... u're lucky kwamba leo nimekujibu before dumping you again in ignored user list!!!
 
nimekuelewa sanaaa
ahsante kunielewesha kaka (km sijakosea)
ila ngoja waje kukutukana sasa
Can I tell you something geniveros, ningekuwekea myo commonly known signature ambayo inani-define what kind of person I am! Kwa kutumia my old user ID, kule jukwaa la siasa wananifahamu... huwa siogopi kusema ukweli! Diamond nam-feel na bado nitaendelea kum-feel lakini panapo ujinga lazima usemwe! One of the management team member wa Chibu ni mtu wangu wa karibu na nimemtumia e-mail na kumwambia plain and white kwamba you're boy amekurupuka... kabla ya kumjibu Davido kwanza alitakiwa kujiuliza Davido alimaanisha nini hasa... angempigia ingawaje busara ilikuwa ni kukaa kimya kwa sababu sio kila tweet ni lazima aijibu! Na nimemwambia wazi kwamba wasiingiwe na kiburi kwa mafanikio ya Chibu ya hivi karibuni... pamoja na yote hayo, bado sana kwahiyo acheni kuoteshwa mapembe na mashabiki maandazi ambao wala hawafahamu nini maana ya PR!! Hajanijibu na am sure wala hatanijibu lakini yale niliyomwambia siku akija kutulia na wenzake ndipo atakuja kufahamu maana yake!!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu kumbe wewe unawajua wanigeria vizuri.
Hawa watu always wamejaa dharau, majivuno, ujuaji. Sio wote, lakini 98% ya wanigeria wako hivyo.

Infact, huwezi piga story na mnigeria masaa mawili,bila kupondea nchi yenu na nyumbani kwenu. As if kwao ni kama london. Wanajiona wako juu sana, wakati Lagos ni chafu zaidi ya dar.

sijasahau P-Square walivyokuja bongo wakajifanya hawamjui Diamond. Mimi sio shabiki wa diamond, ila kama mtanzania thats was disrespect na ulimbukeni kutomtambua our best artist. Wakati wote wako kwenye industry moja ya music. Angeniambia hamjui mrisho ngassa, ningekubali. Kujibu kwamba hamjui diamond, it reflects kwamba hatambui mziki wa bongo flava, wala hajawahi usikia popote.

Barack Obama (the most busy man in this world). Alimataja Ndugu yetu Hasheem Thabit na kumtambua. And sio kwamba Hasheem ni mchezaji bora NBA. No, Obama showed respect to people of Tanzania na kuthamini mchango wa vipaji vyetu. Ingawa hasheem kwa NBA sio kivile.

Respect is more important than anything. Wanaija hawana respect, na sijui kwanini waTZ tunawanyenyekea hawa watu. Au ndo nchi ya amani, mtu akitukosea heshima tunaendelea kumlamba viatu.

tena umenikumbusha hela yangu nimetapeliwa na dada wa nigeria km laki 5 tshs... hayaaminiki hata kwa dawa kazi utapeli na wizi
 
tena umenikumbusha hela yangu nimetapeliwa na dada wa nigeria km laki 5 tshs... hayaaminiki hata kwa dawa kazi utapeli na wizi

[h=3]Davido aondoka ukumbini baada ya Dj kupiga wimbo alioshirikishwa na Diamond "Number One Remix"[/h]
Baada ya kufanya show Freedom City Mall nchini Uganda iliyokuwa na mafanikio makubwa weekend iliyopita nchini Uganda, Davido aliombwa kuhudhuria Laftaz iliyopo Centenary Park siku ya jumatatu usiku kwa ajili ya usiku wao wanaouita "Drunken Monday", usiku ambao unajuisha members wa team no sleep.
Dili hilo lilisimamiwa na Pallaso ambae amefanya collable na Davido na muimbaji huyo alitokea akiwa na Davido ambae alikuwa amevaa jezi ya Cranes ya Uganda.

Kila kitu kilienda sawa, alipiga picha na mashabiki zake mpaka pale Dj wa sehem hiyo alipopiga wimbo wa Diamond "Number One Rmx" aliomshirikisha Davido,
Davido alibadilika na kuondoka sehem hiyo huku akitoa maneno machafu. Licha ya kubembelezwa na meneja wa Hangout lakini Davido hakutaka kusikia chochote na kuondoka haraka kuelekea katika hoteli aliyofikia.

Mtandao wa matookerepublic umeripoti kuwa Davido ameuga na kuwa adui wa Diamod baada ya tuzo za Channel O Davido alipoondoka mikono mitupu na Diamond kubeba tuzo 3. Davido amehisi kudharauliwa kwasababu Diamond kashinda tuzo kwa original version ya Number one huku Davido akihisi kuwa remix ya wimbo huo ndio umeufanya kuwa maarufu
 
Kumbe mtu alozaliwa Lagos mindeset yake sometimes ni sawa na mtu alozaliwa machokoroni tuu!Hata Tandale ipo juu sasa...
 
Kumbe mtu alozaliwa Lagos mindeset yake sometimes ni sawa na mtu alozaliwa machokoroni tuu!Hata Tandale ipo juu sasa...

mmmhh! hii movie inakoelekea sio kuzuri hata kidogo, ila wanaijeria wana dharau sana aisee, kisa nchi yao ina maendeleo basi kila mambo mazuri wapate wao na tuwachekee tu.
 
Aiseeeee davido naona anajuta..huko insta na tweeter hakufai ametukanwa vibaya mno....
Kuna video clip Davido ametukana pia ipo insta huko Mmhh ht sijaelewa kwakweli
 
mmmhh! hii movie inakoelekea sio kuzuri hata kidogo, ila wanaijeria wana dharau sana aisee, kisa nchi yao ina maendeleo basi kila mambo mazuri wapate wao na tuwachekee tu.

Nani alikuambia nchi yao imeendelea? Yani unavyoona video za kina p-square au davido unajua nigeria iko hivyo? Au unavyoangalia movie zao?

Nakuhakishia Tanzania mtu anakaa kwa amani kuliko Lagos. Waliowahi fika wanajua hilo.

Security is worst in nigeria, unatapeliwa au kuibiwa mchana kweupe kila mtu anaona. Uchafu ni zaidi ya manzese, corruption escrow ni cha mtoto.

Wewe hushangai wanigeria wako mataifa mengine wanahangaika hawataki kurudi kwao ata kusalimia??
 
chige davido anasema...they cheated again.....Unaelewa maana ya again? Again kwa kiswahili ni Tena....kama ni tena kwa hio hio mara nyingine waliyocheat ni ipi?
Gracious, kosa tunalofanya ni kutafsiri mada mzima kwa neno moja tu... AGAIN! Kwenye post zilizopita, nimeweka hapa comments kadhaa za Wa-Nigeria wakiilalamikia BBA kwenye shindano la Big Brother na hayo malalamiko ni ya mwaka jana for BBA Season 8 na ya mwaka huu! Hivyo basi, ukichukulia ukweli kwamba wa-Naija wameanza kuilalamikia BBA tangu mwaka jana, na Tweet ya Davido ameiotoa mara tu baada ya kutangazwa kwa mshindi wa BBA mwaka huu; hapo moja kwa moja inaonesha hiyo AGAIN ni ya BBA! Hata ukisoma Tweet za wa Nigeria baada ya Davido ku-tweet they cheated again, wa-Naija wote hakuna aliyetajatuzo za ChO bali wametaja BBA na Biggie... na hata ukichukulia hatua ya tajiri wa Nigeria kumpa mtu wao $ 350K, bado inaonesha ego ya Nigerians ipo kwenye BBA! To be honest, hata mimi hiyo AGAIN niliitafsiri kama wengine wanavyotafsiri nikaamua kuchunguza! Tembelea hata social media za Nigeria... hakuna anayezingumzia tuzo za ChO... wote Big Brother huku wakishutumu UKANDA!
 
Back
Top Bottom