Ndugu kumbe wewe unawajua wanigeria vizuri.
Hawa watu always wamejaa dharau, majivuno, ujuaji. Sio wote, lakini 98% ya wanigeria wako hivyo.
Infact, huwezi piga story na mnigeria masaa mawili,bila kupondea nchi yenu na nyumbani kwenu. As if kwao ni kama london. Wanajiona wako juu sana, wakati Lagos ni chafu zaidi ya dar.
sijasahau P-Square walivyokuja bongo wakajifanya hawamjui Diamond. Mimi sio shabiki wa diamond, ila kama mtanzania thats was disrespect na ulimbukeni kutomtambua our best artist. Wakati wote wako kwenye industry moja ya music. Angeniambia hamjui mrisho ngassa, ningekubali. Kujibu kwamba hamjui diamond, it reflects kwamba hatambui mziki wa bongo flava, wala hajawahi usikia popote.
Barack Obama (the most busy man in this world). Alimataja Ndugu yetu Hasheem Thabit na kumtambua. And sio kwamba Hasheem ni mchezaji bora NBA. No, Obama showed respect to people of Tanzania na kuthamini mchango wa vipaji vyetu. Ingawa hasheem kwa NBA sio kivile.
Respect is more important than anything. Wanaija hawana respect, na sijui kwanini waTZ tunawanyenyekea hawa watu. Au ndo nchi ya amani, mtu akitukosea heshima tunaendelea kumlamba viatu.