Ni kweli sipigi kura yoyote nasubiria ya uchaguzi mkuu October Mungu akinipa uhai. Lakini sijapiga kampeni yoyote Mimi na siwezi Ku mu force mtu afanye asicho kitaka kisa
#uzalendo siwezi naheshimu mawazo ya wengine na sina mamlaka ya kuhukumu.
Kupiga tu kura sio kigezo cha uzalendo kuna mengi ya muhimu ya kizalendo zaidi.
Ka ni uzalendo ni upi kutukana watu walio against na ukishabikiacho kwa kuwatusi na maneno na maneno yenye shombo huo ndo uzalendo au?
Kamwe siwezi kuisaliti nafsi yangu nafanya mambo moyo wangu unapenda.
Mi sipigi kura but the approach ua using timu mind ni very wrong hizo kashfa sijui wivu na maneno kibao ya kuwatusi ndo mnaharibu kabisa. Human being in nature hapendii matusi na dharau.
Mda huu mngekua mnaomba kura na kuona vikashfa kwa kuwa mfano hayo yote yasingetoa. Hata watu wangeona aibu kumpigia Davido mana nyie ndo mngeonyesha njia.Bila hvo watu wameshalishana sumu ya hayari