Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Vita iliyoanza Jana saa 3 usiku baada ya idris sultan wa Tanzania kuchukua ushindi kule kwa madiba hali iliyopelekea Davido kupost post ya utata kule 'twita' iliyotafsiriwa kama kejeli kwa Watanzania. Davido alipost sentensi 'N they cheat again lol', post hiyo ilipelekea Diamond kureact kujibu na pia baada ya muda Diamond alipost picha ya tuzo nyingine aliyoishinda Jana usiku huo huo wa jana katika ardhi ya Nigeria lagos na kuandika 'thanks GOd we cheated again'.

Sasa Leo vita hiyo imefika pabaya kati ya wanaigeria na Wa-Tz, matusi ya Watanzania kule instagram na 'twita' yamewashika Wanaigeria sasa nao wamecharuka vibaya kujibu mapigo kwa kuchora katuni mbali mbali za kejeli na kuwaita Watanzania majina kama Tanzarats, Beggers, attentionseekers, Tanzagays na matusi mengine mengi.

Tembelea akaunti za twita na instagram za davidofficial na diamondplatnumz ukaone laana za matusi ya maelfu ya Wanaigeria kwa Diamond na maelfu ya matusi ya wa-Tz kwa Davido.

Je,hii itatujenga au itatubomoa kwa upande wetu?

Yote haya na bado kuna mburulaz wanampigia kura huyo davido hahahahah

Hii hatari
 
Hata sipigi kura yoyote Mimi. Ila siwezi kuwashupalia watu walioamua kuwapigia kura wawapendao. Kwa kuwanyooshea vidole.#Freedomofchoice .

Kama hupigi kura ni jambo la heri kaa hivohivo but acha kupiga kampeni za kuharibiana mafanikio ya watu.

Si umeona huyo jamaa alivyotuita yeye na wanaijeria wenzake sasa yanini wewe kumpigia kampeni humu.

Ulimponda coz alikugusa kama mtanzania ya nini kumpigia kampeni.

Huoni kama unajisaliti mwenyewe .

Acha hizo Dada yangu.
 
Pamoja na matusi haya mliomtukana Davido na yeye kuwadharau bado mnampigia kura?
Watanzania tuna sahau haraka sana...
 
Tatizo hawajielewi wanafuata mkumbo wanafuata upepo bila kujua uelekeo wake hawajiamini ni watu wa ovyo.

Wanaongozwa na mazoea mbaya zaidi wanafuata maelekezo ya mazezeta hahahahah .
 
Kama hupigi kura ni jambo la heri kaa hivohivo but acha kupiga kampeni za kuharibiana mafanikio ya watu.

Si umeona huyo jamaa alivyotuita yeye na wanaijeria wenzake sasa yanini wewe kumpigia kampeni humu.

Ulimponda coz alikugusa kama mtanzania ya nini kumpigia kampeni.

Huoni kama unajisaliti mwenyewe .

Acha hizo Dada yangu.

Ni kweli sipigi kura yoyote nasubiria ya uchaguzi mkuu October Mungu akinipa uhai. Lakini sijapiga kampeni yoyote Mimi na siwezi Ku mu force mtu afanye asicho kitaka kisa #uzalendo siwezi naheshimu mawazo ya wengine na sina mamlaka ya kuhukumu.

Kupiga tu kura sio kigezo cha uzalendo kuna mengi ya muhimu ya kizalendo zaidi.
Ka ni uzalendo ni upi kutukana watu walio against na ukishabikiacho kwa kuwatusi na maneno na maneno yenye shombo huo ndo uzalendo au?
Kamwe siwezi kuisaliti nafsi yangu nafanya mambo moyo wangu unapenda.

Mi sipigi kura but the approach ua using timu mind ni very wrong hizo kashfa sijui wivu na maneno kibao ya kuwatusi ndo mnaharibu kabisa. Human being in nature hapendii matusi na dharau.
Mda huu mngekua mnaomba kura na kuona vikashfa kwa kuwa mfano hayo yote yasingetoa. Hata watu wangeona aibu kumpigia Davido mana nyie ndo mngeonyesha njia.Bila hvo watu wameshalishana sumu ya hayari
 
Nimeliongea hilo sana, kama wanataka mabadiliko yaanzie kwao kwanza, wasitafute wa kumlaumu katuuu maana wanajua why watu wamefikia huko, afterall kila mtu ana maamuzi yake
 
Yani wao wana wanyari wengine na kutukana lakini bado wanalalamika wakitendwa. Hawajui kuwa muosha naye huoshwa.

Hafu wanakimbia tatizo badala ya kuli solve wanakimbilia kutafta mchawi wao.
Wasiifanyie kazi mapungufu yaliyopo wabaki kulia lia na kutukana watu wataja vuta blanketi kumekucha.
 
Na kejeli,dharau,majigambo rundoooo alafu haphapo wanajifanya kulalamika, aiiii mie nawaangalia tu lolote litakalo kuwa na liwe they diserve it, huo uzalendo unahitajika kwa mondi tuuu ila sio kwa wanamuziki wengine tz???

Wanapenda sana kuonewa huruma hawa waonekane wao wemaaaaa wengine ndio waovu, now they are seeking a public sympathy ila bado in a bad way as usual!!!
 
Hivi unamjua hii ishu inagusa maslahi ya Taifa katika sanaa pia unaweza kusaidia au Ku cost future ya wasanii wengine ikiwa pamoja na alikiba(tafakari kwa vipi hasa).

So kama ni ugomvi wetu uuishie humu ndani .Hii itasaidia maadui zetu walio nje ya mipaka ya nchi yetu kutojua udhaifu wetu kama Taifa.

Na kutumia mwanya huo kushinda vita aliitangazia nchi yetu au baini yetu kirahisi .

Tujitafakari chuki zetu zisivuke mipaka ya nchi.
 
Na hiii mishabiki yake zumbukuku ndio inayoleta balaa na kumponza D, now wanajifanya wemaaaa wamelowaaaaa, nyoooooooo hiii inaitwa mwaga mboga nimwage ugali, kwani sh.ngapi!!! Mnavuna mlichopanda
Kwa hio mkuu nani mwenye kosa mashabiki au mond mwenyewe??ka ni mashabiki wakenya wanakesha huko kupigia kura wasanii wa afrika mashariki!
 
Hivi unamjua hii ishu inagusa maslahi ya Taifa katika sanaa pia unaweza kusaidia au Ku cost future ya wasanii wengine ikiwa pamoja na alikiba(tafakari kwa vipi hasa).

So kama ni ugomvi wetu uuishie humu ndani .Hii itasaidia maadui zetu walio nje ya mipaka ya nchi yetu kutojua udhaifu wetu kama Taifa.

Na kutumia mwanya huo kushinda vita aliitangazia nchi yetu au baini yetu kirahisi .

Tujitafakari chuki zetu zisivuke mipaka ya nchi.

Kwahiyo kuchukiana kunaruhusiwa ila isivuke mipaka ya nchi!!! Keeeeeeh ukisharuhusu kuchukia basi usiweke mipaka joh!
 
Kwenye state interest keep down your hate,envy and ego.

Got it!!!!.
 
Cry babies zaridomondo.,sisi tutampigia kura tu Davido hata iweje nyie si international banaa..watch this space.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo kuchukiana kunaruhusiwa ila isivuke mipaka ya nchi!!! Keeeeeeh ukisharuhusu kuchukia basi usiweke mipaka joh!

Hahaaaa kuna vituko wanatukana wewe na maneno ya shombo juu.
Wakitaka kura wanajifanya masilahi ya taifa.
Hahaaaa masilahi ya taifa ni ka swala LA escrow, uchaguzi hayo mengine ni minor issues.
 
Si ulisema unakaa kimya vipi tena hahahah
 
Back
Top Bottom