Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Upo sahihi na angalia hapo kwenye RED... umeandika wamedanganya pia na sio tumedanganya pia! Ndo maana nikasema ikiwa Davido a wenzake wanaamini BBA/ChO wamedanganya what about hao wa-Nigeria wenzao!!! Kkimsingi wa-Naija wanaona Chibu na Idris wahawakustahili tuzo lakini kutostahili huko kumetokana na cheating ya ChO/BBA... kwamba wame-temper matokeo kwahiyo busara ilikuwa ni kuhoji ikiwa na hao wa-Nigeria wenzao nao wamedanganya na sio "Tumedanganya tena...!"
 
Thats wat we are good at ie mambo ya hovyo hovyo!!
 
Sijawahi kuwa shabiki wa Davido, kwa jambo hilo najipongeza sana. Kuwa shabiki wa mpuuzi kama yule nako ni shida sana.
Ova

Loh!kwa hiyo hata nyimbo zake hujawahi kuzipenda?...lol
 
Inaonekana kama masihara lakini inawezekana kabisa,manake kama mtu anashika kipaza sauti anaimba wimbo mmoja anateuliwa kuwa mbunge sembuse Idrissa kuwa waziri.....hahaaaaaa.
 
hahaha mie bwana nimefurahi tu kuwa Idris kachukua mshiko na soio yule Tayo maana alikuwa ana kiburi na majigambo sana na alikuwa anaamini kuwa yeye ni lazima awe mshindi hahahahaha poleni wanaijeria...karibuni tz tukampokee kijana wetu Idris!
 
Whatever Davido meant but still he is unfair. Anamaanisha kwamba sisi hatustahili kushinda. Wakishinda wao ni sawa ila tukishinda sisi kuna cheatings. Definately hiyo statement inaleta picha ya dharau kwamba waTZ hatuwezi.So jamaa still ametudiss wabongo including jamaa yake, Diamond.
 
Ila i don think kama Davido was serious,kwenye tweet yake kuna ka icon ka kuonea Aibu anachokisema....i believe he wasn't serious

Yesvi agree witchu Princess.Honestly pia i think he just was tryna joke.Hakua serious koz Davido anajua he has a bond na Tz.
 
I hope Diamond hatakumbwa na kuzolewa zolewa na upepo wa mashabiki kwani mashabiki wa Tanzania usivyokuwa makini kila siku watakusababishia mabifu na wadau! Ni mashabiki hawa hawa wa Tanzania ambao kwa kiasi kikubwa ndio wamechochea bifu kati ya Diamond na Kiba... ni mashabiki hawa hawa wa Tanzania ndio wkalichochea mgogoro kati ya Diamond na Wema pale Team Wema walipomjia Diamond juu kwa kauli ya Bring Back Our Wema na matokeo yake ni hao hao leo hii tunaona wakihangaika kuingilia maisha binafsi ya Diamond wakati ameshawaachia Wema wao! Ni mashabiki hawa hawa ndio walichochea kwa kiasi kikubwa bifu kati ya Mwana-FA na Jide... mifano ipo mingi!!

Katika hili I hope Diamond atakuwa matured enough na kutokumbwa na wimbi hili la ushabiki usio na tija kwa sababu ni mashabiki wa aina hii hii ndio kesho unakuja kujiuliza "hata huyu...!" Tumeshuhudia mashabiki wa aina hii ambao walikuwa wanajifanya ni mashabiki wa Diamond kumbe walikwenda kwa Diamond kwa ajili ya Wema! Waungwana wanashabikia kujenga na sio kubomoa!
 
Jaman semeni yoote bt ukweli unabaki ametudharau watz,anaona hatukustahili kushinda,ila wao tu.hiyo ni dharau sn
 
Vita iliyoanza Jana saa 3 usiku baada ya idris sultan wa Tanzania kuchukua ushindi kule kwa madiba hali iliyopelekea Davido kupost post ya utata kule 'twita' iliyotafsiriwa kama kejeli kwa Watanzania. Davido alipost sentensi 'N they cheat again lol', post hiyo ilipelekea Diamond kureact kujibu na pia baada ya muda Diamond alipost picha ya tuzo nyingine aliyoishinda Jana usiku huo huo wa jana katika ardhi ya Nigeria lagos na kuandika 'thanks GOd we cheated again'.

Sasa Leo vita hiyo imefika pabaya kati ya wanaigeria na Wa-Tz, matusi ya Watanzania kule instagram na 'twita' yamewashika Wanaigeria sasa nao wamecharuka vibaya kujibu mapigo kwa kuchora katuni mbali mbali za kejeli na kuwaita Watanzania majina kama Tanzarats, Beggers, attentionseekers, Tanzagays na matusi mengine mengi.

Tembelea akaunti za twita na instagram za davidofficial na diamondplatnumz ukaone laana za matusi ya maelfu ya Wanaigeria kwa Diamond na maelfu ya matusi ya wa-Tz kwa Davido.

Je,hii itatujenga au itatubomoa kwa upande wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…