AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Huyu ni Mchungaji (mtume) kafungua Kanisa lake pele Posta.Sorry, Davido ndio nani?
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Mchungaji (mtume) kafungua Kanisa lake pele Posta.Sorry, Davido ndio nani?
Upo sahihi na angalia hapo kwenye RED... umeandika wamedanganya pia na sio tumedanganya pia! Ndo maana nikasema ikiwa Davido a wenzake wanaamini BBA/ChO wamedanganya what about hao wa-Nigeria wenzao!!! Kkimsingi wa-Naija wanaona Chibu na Idris wahawakustahili tuzo lakini kutostahili huko kumetokana na cheating ya ChO/BBA... kwamba wame-temper matokeo kwahiyo busara ilikuwa ni kuhoji ikiwa na hao wa-Nigeria wenzao nao wamedanganya na sio "Tumedanganya tena...!"Sijui kingaringwe vzr ila jana hiyo hiyo ndan ya nigeria kulikuwa na tunzo zingine ambazo diamond ameshinda so nilichomuelewa mm diamond anamjibu davido kuwa kama vile za ch o na bba wamedanganya na hii ya nigeria kupewa yeye tunzo wamedanganya pia,huku south hatukustahili je na huku kwenu pia waongo?mwisho wa cku muandishi ndiye anaejua alichokusudia wasomaje wataunganisha atakavyoelewa yeye au hisia zake zitakavyomtuma
Thats wat we are good at ie mambo ya hovyo hovyo!!Kampeni inaendeshwa insta na tweeter ya kumdisi davidoo kwa kumu unfollow wakati haohao walikuwa kimya kipindi cha escrow.
Monica Jose Mara, DJ choka, jestina acheni kukuza chuki kwa swala Dogo km hilo. Hela zimekombwa mbona hamkuhamasisha zirudishwe? Baba eve collection (mtu wenu IG ) si ndio mwizi mkuu kwanini msidisi yeye? Mili mikubwa akili kashata
Huyu Idrissa kwann asiteuliwe kuwa waziri wa nishati na madini jamaniii?
Sijawahi kuwa shabiki wa Davido, kwa jambo hilo najipongeza sana. Kuwa shabiki wa mpuuzi kama yule nako ni shida sana.
Ova
Alaah kumbe!
Inaonekana kama masihara lakini inawezekana kabisa,manake kama mtu anashika kipaza sauti anaimba wimbo mmoja anateuliwa kuwa mbunge sembuse Idrissa kuwa waziri.....hahaaaaaa.
HV tezi dume inasambaaje wana?
Whatever Davido meant but still he is unfair. Anamaanisha kwamba sisi hatustahili kushinda. Wakishinda wao ni sawa ila tukishinda sisi kuna cheatings. Definately hiyo statement inaleta picha ya dharau kwamba waTZ hatuwezi.So jamaa still ametudiss wabongo including jamaa yake, Diamond.Suala la kiki umelitoa wapi? Badala ya kuja na jazba jaribu kutumia logic....
Davido anasema "They Cheated....!" which means matokeo yamekuwa tampered! Sasa kwa uelewa wako ni nani anayeweza ku-temper matokeo kati ya Watanzania/Chibu/Idris na ChO/BBA?
Kwa jinsi ilivyo, Wa-Nigeria wanaona ni kama wanahujumiwa na waandaaji wa SA kama njia ya kuwashusha! Is like hapa TZ baadhi ya watu wanapoilaumu Clouds kwamba inawahujumu baadhi ya wasanii! Na huo ndio mtazamo wa Nigeria wengi baada ya kutoka tuzo za Channel O... wanaamini kuna njama za kuwashusha na ndio maana hata ukiangalia wac
hangiaji wa Davido, wanatupa mashuti yao kwa BBA!!!
Kutokana na hilo, ndio maana nikasema jibu muafaka kwao lilikuwa "They Cheated again....!"Kuonesha kwamba ikiwa ushindi wa Chibu na Idris umetokana na ChO na BBA kuwahujumu wa-Naija, what about tuzo zilizotolewa na Wa-Nigeria wenyewe? Ina maana na wao wame-cheat kkuwahujumu wa-Naija wenzao or what?
Kuhusu what if Chibu nae kamjibu Biggie the answer is NO coz' Chibu amesema "We've Cheated Again...!" kwahiyo kama kudanganya ni sisi tumedanganya lakini hata akili za kawaida hazioneshi ni namna gani tunaweza kudanganya wakati kura zinakuwa monitored na wengine! Jibu la Chibu lingekuwa sahihi endapo yeye angekuwa ndio ama Biggie au ChO huku ikimaanisha, kwamba ikiwa "We Cheated...!" what about hiyo Nigeria..."We Cheated, right!"
Ila i don think kama Davido was serious,kwenye tweet yake kuna ka icon ka kuonea Aibu anachokisema....i believe he wasn't serious
Ulikopata muda wa kuandika hii commentMnapataga wapi muda wa kufuatilia upuuzi?
Hii ni opportunity kwa muziki