Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
majibizano ndio yanakuza attention!!! its good news kwa bongo fleva ni mda wa kuvuna sasa!!!
Loh!kwa hiyo hata nyimbo zake hujawahi kuzipenda?...lol
hivi huyo zuzu Davido ameimba nyimbo gani?
Uko kijiji gani?hata skelewu huijui?
Mbona nyimbo yenyewe hiyo skelewu mbovu sana.
Yaani kuna watu wapumbav'u sijapata kuona... mashabiki wa Tanzania ni wa hovyo sana! Wamewachonganisha Chibu na Kiba, wakaja Chibu na Wema na sasa wanataka kuchonganisha na wasanii wa nje! Melissa did the right thing account yake kuiweka private sasa cjui ilikuaje akaamua kuiachia manake wabongo walivyo watu wa hovyo, hata yule watakuja kumchenjia siku moja!kuna mtu kamtukania davido mama yake nimefurahi davido alivyomjibu kistaarabu sana yaani mi ningelia kwa haya
sijui watu tukoje kitu kidogo tusi la mama pole we uliyetukana na ukajibiwa kistaarabu
Yaani kuna watu wapumbav'u sijapata kuona... mashabiki wa Tanzania ni wa hovyo sana! Wamewachonganisha Chibu na Kiba, wakaja Chibu na Wema na sasa wanataka kuchonganisha na wasanii wa nje! Melissa did the right thing account yake kuiweka private sasa cjui ilikuaje akaamua kuiachia manake wabongo walivyo watu wa hovyo, hata yule watakuja kumchenjia siku moja!
what do you mean?Chibu na Ally K,wewe mwenyewe ni very good advocate on that!
Ushawahi kuona namtukana au kumkashifu Kiba humu jamvini? Au kwa ufahamu wako wewe mtu kumshabikia X ndo kuchonganisha X & Y?Chibu na Ally K,wewe mwenyewe ni very good advocate on that!
Go through ur posts!!ova!Ushawahi kuona namtukana au kumkashifu Kiba humu jamvini? Au kwa ufahamu wako wewe mtu kumshabikia X ndo kuchonganisha X & Y?
I didn't know you one of those who worth to be ignored... why should I go through my posts while I know where I stand between the twos?Go through ur posts!!ova!
hahahahahaa wewe ni nyokooooKaribu nyumbani idris, ngoja nikupe yaliyo jiri while ulikuwa uko mjengoni
1. Wema kaachana na chibu, chibu kajiegesha kwa zari "the boss lady".
2. Kuna ugonjwa mpya wa "tezi dume", unatibiwa marekani tu na unawapata sana sana viongozi wakubwa wa nchi
3. Kama una account Mkombozi ukifika kacheki, unaweza kuwa umepata gawio la escrow. Wengine wamepata mara tatu ya ulioshinda
Welcome back home