Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

majibizano ndio yanakuza attention!!! its good news kwa bongo fleva ni mda wa kuvuna sasa!!!

Kama ni wajanja wataitumia hii opportunity vizuri sana...tena majibizano na wanaija walio juu kimziki afrika ndio inaweka Wabongo pazuri zaidi...Tatizo yuko domo alone
 
Haya sasa hadi kumtukania Mama yake.....sad
 
Attachments

  • 1418042191292.jpg
    1418042191292.jpg
    42 KB · Views: 330
Hiyo tweet ya Davido inalenga BBA na sio Tuzo wabongo tuache ujuaji
 
kuna mtu kamtukania davido mama yake nimefurahi davido alivyomjibu kistaarabu sana yaani mi ningelia kwa haya
sijui watu tukoje kitu kidogo tusi la mama pole we uliyetukana na ukajibiwa kistaarabu
 
duh huyo aliemtukania mama yake na kujibiwa "she is in heaven rest in peace "kama atatukana tena atakuwa na uwezo wa kujipangusia kalunguyeye usoni duh tusiwahusishe wazazi katika masuala ya kutukanana wao wana sifa ya kipekee kwa mungu na kwetu pia. Jamaa kweli ni wapuuzi but tujiwekee mipaka ya kutoikurubia coz tukiikurubia tutaivuka.
 
kuna mtu kamtukania davido mama yake nimefurahi davido alivyomjibu kistaarabu sana yaani mi ningelia kwa haya
sijui watu tukoje kitu kidogo tusi la mama pole we uliyetukana na ukajibiwa kistaarabu
Yaani kuna watu wapumbav'u sijapata kuona... mashabiki wa Tanzania ni wa hovyo sana! Wamewachonganisha Chibu na Kiba, wakaja Chibu na Wema na sasa wanataka kuchonganisha na wasanii wa nje! Melissa did the right thing account yake kuiweka private sasa cjui ilikuaje akaamua kuiachia manake wabongo walivyo watu wa hovyo, hata yule watakuja kumchenjia siku moja!
 
Chibu na Ally K,wewe mwenyewe ni very good advocate on that!
 
Hahahahaha honestly naona the fall of Nigeria and the rise of Tanzania on both social and economic affairs.. Huku kwenye social tayari tunawakimbiza. Haya kwenye uchumi tuwapige ccm chini mwakani tuwafukuzie vizuri.. Hahahaha
 
Karibu nyumbani idris, ngoja nikupe yaliyo jiri while ulikuwa uko mjengoni
1. Wema kaachana na chibu, chibu kajiegesha kwa zari "the boss lady".
2. Kuna ugonjwa mpya wa "tezi dume", unatibiwa marekani tu na unawapata sana sana viongozi wakubwa wa nchi
3. Kama una account Mkombozi ukifika kacheki, unaweza kuwa umepata gawio la escrow. Wengine wamepata mara tatu ya ulioshinda

Welcome back home
hahahahahaa wewe ni nyokoooo
 
Back
Top Bottom