Wabongo tunapenda shari za kwenye mitandao, sijapata kuona... no wonder ingawaje na sisi enzi zetu tulikuwa tunafeli lakini miziro ya siku hizi imezidi kuwa mingi manake kutwa kucha watu tunashinda kwenye mitandao kushabikia mabifu!!nimemdharau yule aliyemtukana ila amejibu tena i do regret maana alivyomjibu kanifurahisha kweli davyy
Mi najua wanaoenda Club ni watoto wa sekondari...
Labda huko kijijini kwenu,huku mjini hakuna wazee...lol Matola
Huyo laki si pesa ukiona ameingia huku basi amepotea njia baada ya kula makavu Jukwaa la siasa kwahiyo hatakaa aelewe mambo ya huku! Anakujaga huku kuvuta pumzi ili arudi Jukwaa la Siasa akatetee wezi.Ayeeeee, Ayeeeeeee!
Club gani utaingia bila kulisikia hili song? Mnafki.
Mi najua wanaoenda Club ni watoto wa sekondari...
Mtu mwenyewe anaishi Namtumbo... kule ukisikia Club basi ni kwenye pombe za kienyeji kwahiyo anadhani hata mjini akisikia Club anadhani ni kwenye vilabu vya pombe.Umemjibu vizuri sana, coz hii ya wanaoenda Club ni watoto wa sekondari ni mpya sana kwangu, labda ni zile klabu za pombe za kienyeji, lakini hizi ninazozijua mimi wala hazina mwenyewe.
Ova
kabla ya ku mtupia maneno davido na kumlaumu diamond kwa kumjibu davido ni vyema tuka elewa nini davido alikua ana maanisha na pia nini diamond alikua ana maanisha japo kua ukisoma post zao kichwa kichwa "utaelewa kama ulivyo elewa" cha msingi tujue tu diamond na davido ni washkaji huwezi jua......!?!
Huyu Idrissa kwann asiteuliwe kuwa waziri wa nishati na madini jamaniii?
Mtu mwenyewe anaishi Namtumbo... kule ukisikia Club basi ni kwenye pombe za kienyeji kwahiyo anadhani hata mjini akisikia Club anadhani ni kwenye vilabu vya pombe.
Labda huko kijijini kwenu,huku mjini hakuna wazee...lol Matola
Hahahaa, nifah umeona hii... Mi wala sikujua kama anaishi pande hizo! Kama ni hivyo hilo wala sio kosa lake ila ni tatizo la kimazingira tu.
Ova
Mtu mwenyewe anaishi Namtumbo... kule ukisikia Club basi ni kwenye pombe za kienyeji kwahiyo anadhani hata mjini akisikia Club anadhani ni kwenye vilabu vya pombe.
Umepotea sana!khaaa..
Mara ya mwisho kwenda Club ilikuwa graduation ya form four. Club wanaenda watoto wa sekondari. Jitu zima kujichanganya na watoto wa sekondari Club ni aibu sana
Lol. Utafanya nikutumie zote ili umuelewe hadi ngoma yake iliyomtoa ya Holla at Your Boy.
Ova
Umemjibu vizuri sana, coz hii ya wanaoenda Club ni watoto wa sekondari ni mpya sana kwangu, labda ni zile klabu za pombe za kienyeji, lakini hizi ninazozijua mimi wala hazina mwenyewe.
Ova
mudaa simu ilikuwa inazingua
Dada unaniangusha. ni aibu sana kwa mtu mwenye miaka 23 na zaidi kwenda Club kucheza nyimbo za akina Diamond. hayo mambo ya Club ni ya watoto under 23 years old. Yani jitu zima na ndevu zake kwenda Club kujichanganya na vitoto vya sekondari ni aibu sana aisee.