Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

nimemdharau yule aliyemtukana ila amejibu tena i do regret maana alivyomjibu kanifurahisha kweli davyy
Wabongo tunapenda shari za kwenye mitandao, sijapata kuona... no wonder ingawaje na sisi enzi zetu tulikuwa tunafeli lakini miziro ya siku hizi imezidi kuwa mingi manake kutwa kucha watu tunashinda kwenye mitandao kushabikia mabifu!!
 
kabla ya ku mtupia maneno davido na kumlaumu diamond kwa kumjibu davido ni vyema tuka elewa nini davido alikua ana maanisha na pia nini diamond alikua ana maanisha japo kua ukisoma post zao kichwa kichwa "utaelewa kama ulivyo elewa" cha msingi tujue tu diamond na davido ni washkaji huwezi jua......!?!
 
Ayeeeee, Ayeeeeeee!

Club gani utaingia bila kulisikia hili song? Mnafki.
Huyo laki si pesa ukiona ameingia huku basi amepotea njia baada ya kula makavu Jukwaa la siasa kwahiyo hatakaa aelewe mambo ya huku! Anakujaga huku kuvuta pumzi ili arudi Jukwaa la Siasa akatetee wezi.
 
Last edited by a moderator:
Umemjibu vizuri sana, coz hii ya wanaoenda Club ni watoto wa sekondari ni mpya sana kwangu, labda ni zile klabu za pombe za kienyeji, lakini hizi ninazozijua mimi wala hazina mwenyewe.
Ova
Mtu mwenyewe anaishi Namtumbo... kule ukisikia Club basi ni kwenye pombe za kienyeji kwahiyo anadhani hata mjini akisikia Club anadhani ni kwenye vilabu vya pombe.
 
kabla ya ku mtupia maneno davido na kumlaumu diamond kwa kumjibu davido ni vyema tuka elewa nini davido alikua ana maanisha na pia nini diamond alikua ana maanisha japo kua ukisoma post zao kichwa kichwa "utaelewa kama ulivyo elewa" cha msingi tujue tu diamond na davido ni washkaji huwezi jua......!?!

Bora wewe umeshirikisha ubongo wako kwenye hili maana nakumbuka Diamond aliposhinda tuzo Davido alimpongeza na screenshort ya Insta tuliwekewa hapa.

Watu wasisahau tu bado tunahitaji sana Collabo na Wanaija kuliko wao wanavyotuhitaji.

Mwisho wa siku hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpangia mwingine nini cha kuandika kwenye wall yake.
 
Mtu mwenyewe anaishi Namtumbo... kule ukisikia Club basi ni kwenye pombe za kienyeji kwahiyo anadhani hata mjini akisikia Club anadhani ni kwenye vilabu vya pombe.

Hahahaa, nifah umeona hii... Mi wala sikujua kama anaishi pande hizo! Kama ni hivyo hilo wala sio kosa lake ila ni tatizo la kimazingira tu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Wamemtukana zari haijatosha,wamehamia kwa davido!!

Asilimia 99 ya watanganyika wanaotumia Instagram ni mamburula na masenge!!

Hapana cha maana huko mtandaoni.
 
Labda huko kijijini kwenu,huku mjini hakuna wazee...lol Matola

Dada unaniangusha. ni aibu sana kwa mtu mwenye miaka 23 na zaidi kwenda Club kucheza nyimbo za akina Diamond. hayo mambo ya Club ni ya watoto under 23 years old. Yani jitu zima na ndevu zake kwenda Club kujichanganya na vitoto vya sekondari ni aibu sana aisee.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, nifah umeona hii... Mi wala sikujua kama anaishi pande hizo! Kama ni hivyo hilo wala sio kosa lake ila ni tatizo la kimazingira tu.
Ova

Mambo ya Club ni ya watoto wa sekondari,
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenyewe anaishi Namtumbo... kule ukisikia Club basi ni kwenye pombe za kienyeji kwahiyo anadhani hata mjini akisikia Club anadhani ni kwenye vilabu vya pombe.

Mara ya mwisho kwenda Club ilikuwa graduation ya form four. Club wanaenda watoto wa sekondari. Jitu zima kujichanganya na watoto wa sekondari Club ni aibu sana
 
Lol. Utafanya nikutumie zote ili umuelewe hadi ngoma yake iliyomtoa ya Holla at Your Boy.
Ova

Sijui ndio huo?fanya kunitumia kwanza huo..lol
Ujue hua sifuatilii ngoma zake kihivyo ila huo 'mmoja' ndio niliupenda.
 
Umemjibu vizuri sana, coz hii ya wanaoenda Club ni watoto wa sekondari ni mpya sana kwangu, labda ni zile klabu za pombe za kienyeji, lakini hizi ninazozijua mimi wala hazina mwenyewe.
Ova

Hahahaaaa eti club za pombe za kienyeji!!!
Uwiiiii....nimecheka sana!
 
Hahahaa, nifah umeona hii... Mi wala sikujua kama anaishi pande hizo! Kama ni hivyo hilo wala sio kosa lake ila ni tatizo la kimazingira tu.
Ova

Hahahaaaaa nimeisikia,nachekaje sasa hapa?..lol
 
Last edited by a moderator:
Dada unaniangusha. ni aibu sana kwa mtu mwenye miaka 23 na zaidi kwenda Club kucheza nyimbo za akina Diamond. hayo mambo ya Club ni ya watoto under 23 years old. Yani jitu zima na ndevu zake kwenda Club kujichanganya na vitoto vya sekondari ni aibu sana aisee.

Wewe jamaa ukiamua kusisitiza jambo tu hodari,hata ambalo haliingii akilini utalitetea tu!
 
Back
Top Bottom