Songea kuna raha na maisha mazuri kupita Dar
Huku Songea watu wana pesa, Majumba ya kifahari, magari ya kifahari, hakuna joto, hakuna foleni za kijinga, huku watu hawali miguu na utumbo wa kuku kama dar, yani ni bata tu
Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa, JF inasomwa Dunia nzima pimbi wewe.
BOAT ipo Dar, Ikulu ipo Dar, Simba na Yanga zipo Dar, Diamond na Kiba wanaishi Dar na hata mbunge wako wa Songea yupo Dar.
choko flani hivi
Ukitumia hiyo hoja hapo kwenye nyekundu maana yake hata hao wanaotoa mitusi wako sahihi.Bora wewe umeshirikisha ubongo wako kwenye hili maana nakumbuka Diamond aliposhinda tuzo Davido alimpongeza na screenshort ya Insta tuliwekewa hapa.
Watu wasisahau tu bado tunahitaji sana Collabo na Wanaija kuliko wao wanavyotuhitaji.
Mwisho wa siku hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpangia mwingine nini cha kuandika kwenye wall yake.
Mara ya mwisho kwenda Club ilikuwa graduation ya form four. Club wanaenda watoto wa sekondari. Jitu zima kujichanganya na watoto wa sekondari Club ni aibu sana
Labda Songea ya chumbani kwako ndo inaweza kuipita Dar, tatizo unaamini ni wewe peke yako ndio mwenye kibali cha kuijua Songea kwa sababu unaishi huko.
Ova
Madini yaliyoko Songea yanaweza kuwalisha watu wa Dar milele.
post nyingine ya davido hii hapa....jaribuni kuyatafakari kwa kina haya maneno yake kuna ujumbe mzito sana hapa.
Sorry, Davido ndio nani?
Ukitumia hiyo hoja hapo kwenye nyekundu maana yake hata hao wanaotoa mitusi wako sahihi.
Kha!Hiyo songea hadi natamani kwenda maana sifa zimezidi...
Samahani braza inawezekana sijui. Naomba unieleweshe basi. By the way kama hutaki watu wachangie kwenye wall yako usiandike kitu au kama vipi tambaa kabisa huko insta vinginevyo ukiposti kitu tegemea chochote. Ni kama hapa tu ukiposti mada yeyote tegemea lolote tu huwezi kuwapangia watu namna ya kucomment!Unajuwa maana ya wall au Timeline?
Usilete kichefuchefu kwa ninayoandika kwenye wall yangu na wewe andika unachojisikia kwenye wall yako.
Ngoja nitakupeleka ukapaone wala usiwe na wasiwasi.
Ova
Kha!Hiyo songea hadi natamani kwenda maana sifa zimezidi...
Karibu sana kwenye jiji la maraha Songea. Ukija huku hautatamani kurudi tena Dar. Kuna mwalimu mmoja wa sekondari alipata uhamisho wa kikazi kutoka Songea kuja huko Dar akajinyonga kwa hasira.