Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

Huku Songea watu wana pesa, Majumba ya kifahari, magari ya kifahari, hakuna joto, hakuna foleni za kijinga, huku watu hawali miguu na utumbo wa kuku kama dar, yani ni bata tu

Labda Songea ya chumbani kwako ndo inaweza kuipita Dar, tatizo unaamini ni wewe peke yako ndio mwenye kibali cha kuijua Songea kwa sababu unaishi huko.
Ova
 
Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa, JF inasomwa Dunia nzima pimbi wewe.

BOAT ipo Dar, Ikulu ipo Dar, Simba na Yanga zipo Dar, Diamond na Kiba wanaishi Dar na hata mbunge wako wa Songea yupo Dar.

Madini yaliyoko Songea yanaweza kuwalisha watu wa Dar milele.
 
Waende zao huko, mimi sikujua kama hao jamaa ni walalamishi hivyo,walikuwa hawajui kama sisi ni wakali wa sanaa?
 
Bora wewe umeshirikisha ubongo wako kwenye hili maana nakumbuka Diamond aliposhinda tuzo Davido alimpongeza na screenshort ya Insta tuliwekewa hapa.

Watu wasisahau tu bado tunahitaji sana Collabo na Wanaija kuliko wao wanavyotuhitaji.

Mwisho wa siku hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumpangia mwingine nini cha kuandika kwenye wall yake.
Ukitumia hiyo hoja hapo kwenye nyekundu maana yake hata hao wanaotoa mitusi wako sahihi.
 
Mara ya mwisho kwenda Club ilikuwa graduation ya form four. Club wanaenda watoto wa sekondari. Jitu zima kujichanganya na watoto wa sekondari Club ni aibu sana

Et Mara ya mwisho kwenda club ni graduation ya form 4.unajua club wewe??

Mimi sio mlev wa hayo maeneo lakin najua kuwa kwanza watoto wengi wa secondary unaowasema hawana uwezo wa kumudu viingilio vya club. We utakuwa una refer kumbi za CCM wewe na disco Toto
 
Post nyingine ya davido hii hapa....jaribuni kuyatafakari kwa kina haya maneno yake kuna ujumbe mzito sana hapa.
 

Attachments

  • 1418061230563.jpg
    1418061230563.jpg
    81.8 KB · Views: 417
Wabongo bana mbona issue ndogo sana iyo mnatoa matusi mpaka ya mama yake kibaya zaidi mama yake kaishafariki, ebu kuweni kifikra
 
Ukitumia hiyo hoja hapo kwenye nyekundu maana yake hata hao wanaotoa mitusi wako sahihi.

Unajuwa maana ya wall au Timeline?

Usilete kichefuchefu kwa ninayoandika kwenye wall yangu na wewe andika unachojisikia kwenye wall yako.
 
Unajuwa maana ya wall au Timeline?

Usilete kichefuchefu kwa ninayoandika kwenye wall yangu na wewe andika unachojisikia kwenye wall yako.
Samahani braza inawezekana sijui. Naomba unieleweshe basi. By the way kama hutaki watu wachangie kwenye wall yako usiandike kitu au kama vipi tambaa kabisa huko insta vinginevyo ukiposti kitu tegemea chochote. Ni kama hapa tu ukiposti mada yeyote tegemea lolote tu huwezi kuwapangia watu namna ya kucomment!
 
Kha!Hiyo songea hadi natamani kwenda maana sifa zimezidi...

Karibu sana kwenye jiji la maraha Songea. Ukija huku hautatamani kurudi tena Dar. Kuna mwalimu mmoja wa sekondari alipata uhamisho wa kikazi kutoka Songea kuja huko Dar akajinyonga kwa hasira.
 
Karibu sana kwenye jiji la maraha Songea. Ukija huku hautatamani kurudi tena Dar. Kuna mwalimu mmoja wa sekondari alipata uhamisho wa kikazi kutoka Songea kuja huko Dar akajinyonga kwa hasira.

Hivi Songea ni Jiji au halmashauri? Halafu Ccm ndio inaajili watu makenge kama wewe kuja kukesha mitandaoni?
 
Back
Top Bottom