PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Wewe ndo hajui kitu unasikiliza propaganda umasikini wetu unasabishwa na uzembe na ufisadi wa viongozi au unataka kusema wakoloni ndo wanakwambia watawala wa Africa wawe mafisadi?
Ufisadi na system nzima ya utawala hapa Afrika ipo kwa maslahi ya wazungu ndio maana unaona mpaka leo ipo.
Unasema ni propaganda? Umekwenda shule lakini bado ni kipofu. Unajua kwanini hatuna viwanda? Unajua kwanini vita haziishi miaka nenda rudi. Akili zako ndogo sana.