Davido kufanya collabo na Nicki Minaj

hassandilunga

Senior Member
Joined
Mar 17, 2020
Posts
146
Reaction score
149
O.B.O ukipenda muite Davido kupitia I.G yake anatusanua kwamba kuna Collabo inakuja soon ft Nick Minaj...


Jamaa hataki masihara si mnakumbuka alivyoumiza kwenye Blow my mind akiwa na Chris Brown?


Hasimu wake mkubwa pia Amemaliza kupika Album yake ya Made In Lagos ambayo inasadikika humo ndani kuna Collaboration zamaana na wasanii wakubwa wa Marekani namzungumzia Wizkid au Star Boy..

Hawa Nigeria naona hawatanii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 

Attachments

  • Screenshot_2020-05-03-17-50-03.png
    41.4 KB · Views: 4
Issue sio tu kufanya ngoma na msanii wa Marekani je hiyo ngoma Ni Kali? ngoma aliyofanya na Chris ilikuwa ya kawaida binafsi naonanaga ngoma akifanyaga ya Pekee yake inakuwa Kali Sana mfano " If ", " fall " tofauti akifanya na USA artists na nyimbo anazofanya na USA hazimpi Mafanikio Kama aliyopata kwenye ngoma zake za pekee yake.
 
Vp Wizkid?
 
Tatizo ya hizi collabo msanii wa juu sana anapofanya collabo na msanii aliyempiga gepu kubwa huwa hazi hit, wasanii wa Africa wamefanya collabo na wasanii wengi wa marekani ila inabaki kukumbukwa tu msanii Fulani aliimba na msanii mkubwa wa marekani.

Collabo safi wote angalau msipishane sana umaarufu,mfano mfalme wa mziki Tz alipokutana na msanii Innos B ambaye pia anatamba Congo kazi ya yope ikawa fresh na ina views zaidi ya mia.

Sasa matawi ya juu wakikutana na wa chini yao sana huwa wanafanya kazi kama hawapendi hivi, matokeo yake inabaki tu historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ