dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Kama hupumui vizuri, unapiga chafya, mafua nyakati za usiku, hiyo sio Corona, hufui blanket.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Kama hupumui vizuri, unapiga chafya, mafua nyakati za usiku, hiyo sio Corona, hufui blanket.
Hapa umenidanganya ndugu Wiz kwenye kuandika ni balaaa lingine hivi unajua One Dance iliandikwa na nani? Hits nyingi za Davido hakuandika mwenyewe.Licha ya yote ila Kidayo ni very humble, anapendwa sana huyu jamaa compared to Davido huwaga anapanick sana kwa mfano anaposhindanishwa na Starboy.....afu kitu kingine Davido anabebwa sana na kuandika tofauti na Wizkid mvivu kuandika...anapendelea zaidi ku freestyle kama kwenye come closer.....
All in all hawa jamaa ni kama Messi na Cr7 pengo lao itakua ngumu sana kuziba....wamekuja watu wengi kina Tekno, runtown na recently Burnaboy ila kuwatoa hawa jamaa kwenye ramani ni ngumu mno
Hata Blow my mind? Lkn Star Boy ile African Bad Girl kwanini hakuitolea video??? DaaaahGuys..ile African bad gyal ya wizkid ft chris brown ndo inayo onesha uhatari wa wizkid....kwa upande wa davido naungana na mdau mmoja huko juu [collabo za davido na watu wa majuu zina kwama] but.wizkid ni Hits over Hits
Sijahusisha kuandikiwa naongelea uwezo wa ku freestyle kama alivyofanya kwenye come closerHapa umenidanganya ndugu Wiz kwenye kuandika ni balaaa lingine hivi unajua One Dance iliandikwa na nani? Hits nyingi za Davido hakuandika mwenyewe.
LabdaSijahusisha kuandikiwa naongelea uwezo wa ku freestyle kama alivyofanya kwenye come closer
Davido namuonaga ana nyimbo nyingi nzuri kuliko WizkidLabda
Mi naonaga Wizzy mnyama zaidiDavido namuonaga ana nyimbo nyingi nzuri kuliko Wizkid
Humui maadazi au Donati?