Davido kufanya collabo na Nicki Minaj

Mziki Collabo Bro. Huwezi kujulikana nje ya Afrika bila mikolabo kama hiyo.

Diamond ft Omarion
Diamond ft Rick Rose
Diamond Ft Neyo

🚶
 
hii kauli ingetolewa na msanii wetu pendwa, mtoto wa Abdul na Sandra, Mtandale OG Platnumz, wakina Robidinyo na wale wenzake wa lile group la spartcus the mnyama mkali wangesikika wakisema anatafuta kiki...
na wangeongeza ni baada ya ile ya kulipa pango kaya jero kubuma...
anyway kongole davido
 
Haaa
 
Kama kuna. Kaukweli hivi unaikumbuka aye
 
Hili nimeliona pia kwa Christian Bella. Ungetarajia collabo na Kofi Olomide ingekuwa fire, lakini haikupata kuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…