hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 149
- Thread starter
-
- #41
Au ya Joh Makini ft Davido__Kata letaHili nimeliona pia kwa Christian Bella. Ungetarajia collabo na Kofi Olomide ingekuwa fire, lakini haikupata kuwa hivyo
Amini unachokiamini
Blow my mind ni ngoma ya kawaida...!!!Issue sio tu kufanya ngoma na msanii wa Marekani je hiyo ngoma Ni Kali? ngoma aliyofanya na Chris ilikuwa ya kawaida binafsi naonanaga ngoma akifanyaga ya Pekee yake inakuwa Kali Sana mfano " If ", " fall " tofauti akifanya na USA artists na nyimbo anazofanya na USA hazimpi Mafanikio Kama aliyopata kwenye ngoma zake za pekee yake.
Kwenye kipaji Wizkid ana kipaji kikubwa compare tu davido ila kwenye kutoa hit songs Davido ana hit song nyingi kuzidi Wizkid.Kwenye kipaji, na mziki wao
Zipo mbili mkuuMbona sionagi alipoimba mule au nasikiaga vibaya?
Nae anakuja tena na album mwezi wa saba O.B.O watu kama washaanza mpotezea burnaboySaana...Mana anajua hasimu wake anakuja na fullAlbum...
Challenge yao hatari na inafaida kwa Muziki wa Nigeria
Ndo nasikia leo kuhusu hiyo collaboHili nimeliona pia kwa Christian Bella. Ungetarajia collabo na Kofi Olomide ingekuwa fire, lakini haikupata kuwa hivyo
Davido = C.Ronaldo (Hard worker)Kwenye kipaji Wizkid ana kipaji kikubwa compare tu davido ila kwenye kutoa hit songs Davido ana hit song nyingi kuzidi Wizkid.
Hii hapa..
Watukuwaje washindani ikiwa diamond kapiga hatua kumi mbele wakati Alikiba anasonga ugali badala ya hatuaNataman mond na kiba wangekuwa na ushindani kam wizkid na davido..ila kiba mwenyewee!!
Umemaliza mzee
[emoji23][emoji23][emoji23] Sikiliza vizuri mzeeMbona sionagi alipoimba mule au nasikiaga vibaya?
[emoji23][emoji23][emoji23] Mawazo yangu kabisa haya umemaliza mzee [emoji91]