Davido kufanya collabo na Nicki Minaj

Davido kufanya collabo na Nicki Minaj

Issue sio tu kufanya ngoma na msanii wa Marekani je hiyo ngoma Ni Kali? ngoma aliyofanya na Chris ilikuwa ya kawaida binafsi naonanaga ngoma akifanyaga ya Pekee yake inakuwa Kali Sana mfano " If ", " fall " tofauti akifanya na USA artists na nyimbo anazofanya na USA hazimpi Mafanikio Kama aliyopata kwenye ngoma zake za pekee yake.
Blow my mind ni ngoma ya kawaida...!!!
Acha masikhara...
 
Nataman mond na kiba wangekuwa na ushindani kam wizkid na davido..ila kiba mwenyewee!!
 
Kidayo ni mtu mwengine kabisa hamtumii nguvu kuimba alafu wasanii wa USA ndio wanamkublai jamaa ndio maana Drizz alimweka kwenye ngoma yake ya "one dance" ni moja ya nyimbo yenye mafanikio makubwa kwa Drizz na huu mkwaju hata billboard wanautambua ni nn [emoji91]

Ndio maana hata wiz kid hakupata tabu kumshirikisha Drizz kwenye nyimbo yake ya "closer" ni nyimbo ambayo ina viewers wengi katika nyimbo 3 bora za Afrika muda wote zenye viewers wengi acha na wiz kid.
 
Licha ya yote ila Kidayo ni very humble, anapendwa sana huyu jamaa compared to Davido huwaga anapanick sana kwa mfano anaposhindanishwa na Starboy.....afu kitu kingine Davido anabebwa sana na kuandika tofauti na Wizkid mvivu kuandika...anapendelea zaidi ku freestyle kama kwenye come closer.....

All in all hawa jamaa ni kama Messi na Cr7 pengo lao itakua ngumu sana kuziba....wamekuja watu wengi kina Tekno, runtown na recently Burnaboy ila kuwatoa hawa jamaa kwenye ramani ni ngumu mno
 
Back
Top Bottom