Davido kufanya collabo na Nicki Minaj

Guys..ile African bad gyal ya wizkid ft chris brown ndo inayo onesha uhatari wa wizkid....kwa upande wa davido naungana na mdau mmoja huko juu [collabo za davido na watu wa majuu zina kwama] but.wizkid ni Hits over Hits
 
Starboy....aliamua kumpisha burnaboy kidogo ampe kash kash Davido
 
Hapa umenidanganya ndugu Wiz kwenye kuandika ni balaaa lingine hivi unajua One Dance iliandikwa na nani? Hits nyingi za Davido hakuandika mwenyewe.
 
Guys..ile African bad gyal ya wizkid ft chris brown ndo inayo onesha uhatari wa wizkid....kwa upande wa davido naungana na mdau mmoja huko juu [collabo za davido na watu wa majuu zina kwama] but.wizkid ni Hits over Hits
Hata Blow my mind? Lkn Star Boy ile African Bad Girl kwanini hakuitolea video??? Daaaah
 
Hapa umenidanganya ndugu Wiz kwenye kuandika ni balaaa lingine hivi unajua One Dance iliandikwa na nani? Hits nyingi za Davido hakuandika mwenyewe.
Sijahusisha kuandikiwa naongelea uwezo wa ku freestyle kama alivyofanya kwenye come closer
 
Can't wait kusikia hilo jisong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…