DAVIDO VS DIAMOND "Penye Davido diamond hakai"

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
dah kiukweli huyu DAVIDO (miaka21) anamtesa sana kaka yake Diamond Platinuma(miaka26)

1.Tuzo za MTV Africa Music Awards zilizofanyika KwaZulu-Natal Davido alifanikiwa kuchukua tuzo mbili ikiwemo ya mwimbaji bora wa kiume na pia akachukua tuzo ya mwanamuziki bora wa mwaka kwa ila upande wa Diamond platnumz kwa bahat mbaya diamond alishindwa kupata hata tuzo moja


2.tuzo za b.e.t zilizofanyika majuzi Davido alidhihirisha unyama wake tena baada ya kuchukua tuzo kubwa zabet kipengele cha best international act ila cha kusikitisha Kwenye hizo hizo tuzo za B.E.T. Davido aliwaita Nominees wote wa Africa waende stage wajumuike naye ila kaka yake alikataa kabisa kwenda nahisi diamond alikuwa na hasira sana za kushindwa na dogo Davido


3.DAVIDO huyu dogo ni mjanja sana kwenye kutafta pesa na umaarufu alivyoona tu diamond anashine sana kwenye my number one alimtumia diamond ili nae afahamike east africa na apate shows huku bongo, DAVIDO akaitwa kufanya remixkwenye remix ya namber one na kaka yake remix ilivotoka nyota ya davido ilingaa maana hata huku tz aliitwa kufanya show na clouds na alipewa pesa nyingi sana kuna mstari aliimba "from dar 2 lagos i gona make u famous" kuweka wazi yeye ndio top
 
Katka no. 1 remix Davido alimwambia Domo "from dar 2 lagos i gona make u famous". Sasa inakuaje mwanafunzi awe fundi zaidi ya mwalimu? Siku zote Domo atakuwa chini ya Davido.
 
Katka no. 1 remix Davido alimwambia Domo "from dar 2 lagos i gona make u famous". Sasa inakuaje mwanafunzi awe fundi zaidi ya mwalimu? Siku zote Domo atakuwa chini ya Davido.

ni shidaa
 
mbona mi nazani diamond anafurahia davido kupata tuzo? elewa hawa DD ni marafiki sana
 
Davido alivyopanda kuchukua Tuzo aliwaita wasanii wenzake toka Africa lakini Diamond hakupanda sijajua ni kwanini?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Davido alivyopanda kuchukua Tuzo aliwaita wasanii wenzake toka Africa lakini Diamond hakupanda sijajua ni kwanini?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Simba inavyotwaa TAJI kuna shabik wa Yanga uwa anawasapoti.?
 
Unajua mnamuonea sana Diamond kumshindanisha na Mpopo?
 
na biLA FIESTA! HAKUNA M TZ Angemjua DAVI.
 
ni upunguani kufikiri kwamba DIAMONDOO SOUND angeweza kumdefeat Davido.

Kwa kweli!
Sijui huwa tunawaza nn!
Diamond tumshindanishe na hawa hawa kina shetta sijui sheta!
Hasimami hata na Barnaba wala Rich Mavoko
Huko kwa kina Ally Kiba ndo kabisaaaaa!
Naseeb sio mwanamuziki
Ni mfanyabiashara ya muziki!
Hilo analiweza! na ndio anakowabeat hao niliowataja!
Sasa tunapolazomisha ashindane jukwaa la kina Mafikizolo sijui David,way took much!
Na hii misifa ya kiwehu wanayoxidi kumpa hawampi nafasi ya kujitazama level yake!
 
na biLA FIESTA! HAKUNA M TZ Angemjua DAVI.

Angalia miziki chanel O, Davido ananyimbo nyingi na kashirikishwa kwenye colabo na wanamiziki wengi. Wanamuziki wengi wa west Africa wapo juu ya Diamond, lakini anajitahidi.
 
Hao ni kama Lionel Messi vs christiano Ronaldo.. Wote wakali ila m1 hakabiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…