Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
dah kiukweli huyu DAVIDO (miaka21) anamtesa sana kaka yake Diamond Platinuma(miaka26)
1.Tuzo za MTV Africa Music Awards zilizofanyika KwaZulu-Natal Davido alifanikiwa kuchukua tuzo mbili ikiwemo ya mwimbaji bora wa kiume na pia akachukua tuzo ya mwanamuziki bora wa mwaka kwa ila upande wa Diamond platnumz kwa bahat mbaya diamond alishindwa kupata hata tuzo moja

2.tuzo za b.e.t zilizofanyika majuzi Davido alidhihirisha unyama wake tena baada ya kuchukua tuzo kubwa zabet kipengele cha best international act ila cha kusikitisha Kwenye hizo hizo tuzo za B.E.T. Davido aliwaita Nominees wote wa Africa waende stage wajumuike naye ila kaka yake alikataa kabisa kwenda nahisi diamond alikuwa na hasira sana za kushindwa na dogo Davido

3.DAVIDO huyu dogo ni mjanja sana kwenye kutafta pesa na umaarufu alivyoona tu diamond anashine sana kwenye my number one alimtumia diamond ili nae afahamike east africa na apate shows huku bongo, DAVIDO akaitwa kufanya remixkwenye remix ya namber one na kaka yake remix ilivotoka nyota ya davido ilingaa maana hata huku tz aliitwa kufanya show na clouds na alipewa pesa nyingi sana kuna mstari aliimba "from dar 2 lagos i gona make u famous" kuweka wazi yeye ndio top