Angalia miziki chanel O, Davido ananyimbo nyingi na kashirikishwa kwenye colabo na wanamiziki wengi. Wanamuziki wengi wa west Africa wapo juu ya Diamond, lakini anajitahidi.
mtoa mada acha pumba inabidi ukue. sio kwamba eti davido ni mkali kuliko diamond ila tu inabidi uangalie kwanza population ya nigeria pili mziki wa naija unatambulika zaidi kuliko wa bongo hivyo ni rahisi sana mnaija kujulikana kirahisi kutokana na macho ya watu wengi afrika yapo kwenye naija music tofauti na bongo mziki wetu unajulikana ukanda wetu tu hivyo diamond ndio kwanza anaonekana upcoming africawise. ila diamond ni msanii mkubwa sana tu na ana hit songs kibao sema coverage yake bado haijakuwa
mtv base pia,,, diamond is least played,
wakenya wanauwa MTV BASE.
tuache kudanganyana siku hizi mtv karibia kila mtu anatazama, hamna mkenya anayepigwa mtv, pale ni videos za naija na sauzi ndio zinapigwa n kutoka ea mbona diamond ommy wanapigwa plus radio and weasel hao wakenya labda ungewataja tuwajue
Davido alivyopanda kuchukua Tuzo aliwaita wasanii wenzake toka Africa lakini Diamond hakupanda sijajua ni kwanini?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
mbona mafikizolo wamekosa na hata hao psquare hawakuwa nominated? tuache chuki tuongeee ukweli
tuache kudanganyana siku hizi mtv karibia kila mtu anatazama, hamna mkenya anayepigwa mtv, pale ni videos za naija na sauzi ndio zinapigwa n kutoka ea mbona diamond ommy wanapigwa plus radio and weasel hao wakenya labda ungewataja tuwajue
diamond made it yes, tunakubali juhudi zake.,, ajifunze sasa GLOBAL CULTURE.!! Viduku vitaishia RWANDA .
Umenena mkuu, mziki wake usiwe wa tandale kwasasa, ila aangalie mbele zaidi
bila diamond wengine tusingejua kuwa kuna davido
mtaendelea lalama tu., WA BONGO NDO UTAMADUN WETU KULIALIA.,, wa KE.,wanatushika pale.,, na kuimba kidhungu..
I might sound PUNK.,,habr ndo hyo.
dah kiukweli huyu DAVIDO (miaka21) anamtesa sana kaka yake Diamond Platinuma(miaka26)
1.Tuzo za MTV Africa Music Awards zilizofanyika KwaZulu-Natal Davido alifanikiwa kuchukua tuzo mbili ikiwemo ya mwimbaji bora wa kiume na pia akachukua tuzo ya mwanamuziki bora wa mwaka kwa ila upande wa Diamond platnumz kwa bahat mbaya diamond alishindwa kupata hata tuzo moja
View attachment 168462View attachment 168463
2.tuzo za b.e.t zilizofanyika majuzi Davido alidhihirisha unyama wake tena baada ya kuchukua tuzo kubwa zabet kipengele cha best international act ila cha kusikitisha Kwenye hizo hizo tuzo za B.E.T. Davido aliwaita Nominees wote wa Africa waende stage wajumuike naye ila kaka yake alikataa kabisa kwenda nahisi diamond alikuwa na hasira sana za kushindwa na dogo Davido
View attachment 168467
3.DAVIDO huyu dogo ni mjanja sana kwenye kutafta pesa na umaarufu alivyoona tu diamond anashine sana kwenye my number one alimtumia diamond ili nae afahamike east africa na apate shows huku bongo, DAVIDO akaitwa kufanya remixkwenye remix ya namber one na kaka yake remix ilivotoka nyota ya davido ilingaa maana hata huku tz aliitwa kufanya show na clouds na alipewa pesa nyingi sana kuna mstari aliimba "from dar 2 lagos i gona make u famous" kuweka wazi yeye ndio top
tatizo mtu ukisema ukweli unaonekana hater hata kama lengo ni kurekebisha