DAVIDO VS DIAMOND "Penye Davido diamond hakai"

DAVIDO VS DIAMOND "Penye Davido diamond hakai"

Davido wangemlinganisha na p square banaaa anamuonea tu domo wetuu
 
Angalia miziki chanel O, Davido ananyimbo nyingi na kashirikishwa kwenye colabo na wanamiziki wengi. Wanamuziki wengi wa west Africa wapo juu ya Diamond, lakini anajitahidi.

mtv base pia,,, diamond is least played,
wakenya wanauwa MTV BASE.
 
mtoa mada acha pumba inabidi ukue. sio kwamba eti davido ni mkali kuliko diamond ila tu inabidi uangalie kwanza population ya nigeria pili mziki wa naija unatambulika zaidi kuliko wa bongo hivyo ni rahisi sana mnaija kujulikana kirahisi kutokana na macho ya watu wengi afrika yapo kwenye naija music tofauti na bongo mziki wetu unajulikana ukanda wetu tu hivyo diamond ndio kwanza anaonekana upcoming africawise. ila diamond ni msanii mkubwa sana tu na ana hit songs kibao sema coverage yake bado haijakuwa
 
wanaija wanacheza na utamaduni wa ki ULIMWENGU,, NDO MANA WAENDELEA TUSUA.
sasa nyi na elimu zenu za kushona kibongobongo.

Nasikitika na DIAMOND litabaki jina tu.
 
mtv base pia,,, diamond is least played,
wakenya wanauwa MTV BASE.

tuache kudanganyana siku hizi mtv karibia kila mtu anatazama, hamna mkenya anayepigwa mtv, pale ni videos za naija na sauzi ndio zinapigwa n kutoka ea mbona diamond ommy wanapigwa plus radio and weasel hao wakenya labda ungewataja tuwajue
 
mbona mafikizolo wamekosa na hata hao psquare hawakuwa nominated? tuache chuki tuongeee ukweli
 
i witnessed DIAMOND played once just few hrs b4 MAMA awards.

Radio n Weasel wanauwa sasa MTV bse
 
Davido alivyopanda kuchukua Tuzo aliwaita wasanii wenzake toka Africa lakini Diamond hakupanda sijajua ni kwanini?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Mkuu hili swala limetolewa majibu leo na BabTale kwny kipindi cha XXL Cloudz, kuwa Diamond alikuwa nado hajafika kipindi Davido anapewa hiyo tuzo iliyotolewa asubuhi kwani Diamond alikuwa anajua ni muda wmngne wa tuzo kutokana na hali hiyo Diamond alifika ukumbini akaishia kupiga picha tu red carpet.
 
i witnessed DIAMOND played once just few hrs b4 MAMA awards.

Radio n Weasel wanauwa sasa MTV bse

most votef playlist MVP out of 20 diamond's #1 ilishika namba 4 n me nimeona anapigwa mara nyingi tu. ila mtv imebase naija na sauzi.
 
mbona mafikizolo wamekosa na hata hao psquare hawakuwa nominated? tuache chuki tuongeee ukweli

Sisi wengine hatupendi uongo uongo ,Diamond katuwakilisha ametuwakilisha kweli kweli ila uongo haututaki.
 
tuache kudanganyana siku hizi mtv karibia kila mtu anatazama, hamna mkenya anayepigwa mtv, pale ni videos za naija na sauzi ndio zinapigwa n kutoka ea mbona diamond ommy wanapigwa plus radio and weasel hao wakenya labda ungewataja tuwajue

Mkuu kweli wakenya wanapewa promo MTVbase, mfano msanii wa Gospel rock Daddy Owen wa kenya anapewa sana promo hadi 2012 alibeba tuzo ya Mtvbase.
 
diamond made it yes, tunakubali juhudi zake.,, ajifunze sasa GLOBAL CULTURE.!! Viduku vitaishia RWANDA .

Umenena mkuu, mziki wake usiwe wa tandale kwasasa, ila aangalie mbele zaidi
 
mtaendelea lalama tu., WA BONGO NDO UTAMADUN WETU KULIALIA.,, wa KE.,wanatushika pale.,, na kuimba kidhungu..
I might sound PUNK.,,habr ndo hyo.
 
Umenena mkuu, mziki wake usiwe wa tandale kwasasa, ila aangalie mbele zaidi

ahsante kwa kunielewa,, tuwaelimishe wasanii CHIPUKIZI sasa waende shule.
They have to be GLOBALIZED....
 
dah kiukweli huyu DAVIDO (miaka21) anamtesa sana kaka yake Diamond Platinuma(miaka26)

1.Tuzo za MTV Africa Music Awards zilizofanyika KwaZulu-Natal Davido alifanikiwa kuchukua tuzo mbili ikiwemo ya mwimbaji bora wa kiume na pia akachukua tuzo ya mwanamuziki bora wa mwaka kwa ila upande wa Diamond platnumz kwa bahat mbaya diamond alishindwa kupata hata tuzo moja
View attachment 168462View attachment 168463

2.tuzo za b.e.t zilizofanyika majuzi Davido alidhihirisha unyama wake tena baada ya kuchukua tuzo kubwa zabet kipengele cha best international act ila cha kusikitisha Kwenye hizo hizo tuzo za B.E.T. Davido aliwaita Nominees wote wa Africa waende stage wajumuike naye ila kaka yake alikataa kabisa kwenda nahisi diamond alikuwa na hasira sana za kushindwa na dogo Davido
View attachment 168467

3.DAVIDO huyu dogo ni mjanja sana kwenye kutafta pesa na umaarufu alivyoona tu diamond anashine sana kwenye my number one alimtumia diamond ili nae afahamike east africa na apate shows huku bongo, DAVIDO akaitwa kufanya remixkwenye remix ya namber one na kaka yake remix ilivotoka nyota ya davido ilingaa maana hata huku tz aliitwa kufanya show na clouds na alipewa pesa nyingi sana kuna mstari aliimba "from dar 2 lagos i gona make u famous" kuweka wazi yeye ndio top

WELL SAID, Atabakia kupata hizi za Tanzania Breweries, amelewa sifa
 
Tena hz team team zao huko instagram. .weuwees.bora upte tuuu usnene ktu cha kumkosoa
Celebrity wao kama domo mond.i like davido
 
lazima tuwasaidie wasanii chipukizi kufahamu DUNIA yahitaji nini,.. Tutaendelea sindikiza.

..,uwa najiuliza sana kwanin DAVIDO ALISEMA..-'im gon make u famous'-
 
Back
Top Bottom