DAVIDO VS DIAMOND "Penye Davido diamond hakai"

Mkuu kweli wakenya wanapewa promo MTVbase, mfano msanii wa Gospel rock Daddy Owen wa kenya anapewa sana promo hadi 2012 alibeba tuzo ya Mtvbase.

mkuu ni kweli wakenya walikuwa wanapewa promo first tym kwasababu kwa mara ya kwanza tuzo za mtv zilifanyika kenya mpaka Amani akachukua best female na Nameless best male ndo vilichangia wao kupigwa MTV ila siku hizi hamna mkenya anayenusa pale.
 
Davido sio mwanamuziki mzuri kumpita diamond basi tu unaija unambeba na alibahatisha skelewu. ukitaka kuproove angalia alivyoimba pumba kwenye africa rising halafu cheki diamond alivyouaa
 
Davido sio mwanamuziki mzuri kumpita diamond basi tu unaija unambeba na alibahatisha skelewu. ukitaka kuproove angalia alivyoimba pumba kwenye africa rising halafu cheki diamond alivyouaa

sasa na sisi wabongo nini kinatubeba,,!?
Thats silliest excuse.
 
sasa na sisi wabongo nini kinatubeba,,!?
Thats silliest excuse.

nikisema anabebwa na unaija i mean nigerian music industry is so big n ina exposure kubwa worldwide so obviosly davido ana fans wengi. bongofleva mwisho rwanda tu hapo
 
Davido sio mwanamuziki mzuri kumpita diamond basi tu unaija unambeba na alibahatisha skelewu. ukitaka kuproove angalia alivyoimba pumba kwenye africa rising halafu cheki diamond alivyouaa
Mkubwa Ayee imembeba sana mshikaji. Dogo akaze na abadilike atazipiga mwakani.
 
mkuu ni kweli wakenya walikuwa wanapewa promo first tym kwasababu kwa mara ya kwanza tuzo za mtv zilifanyika kenya mpaka Amani akachukua best female na Nameless best male ndo vilichangia wao kupigwa MTV ila siku hizi hamna mkenya anayenusa pale.

hapo nimekupata mkuu.
 
bila diamond wengine tusingejua kuwa kuna davido

Ila mi mtu mibishi tu,nakumbuka kipindi hicho anatajwa kwenye list na clouds,watu waliponda kweli ooh clouds wamefulia wanaleta wasanii hawajulikani,leo mimtu humu imegeuka tena eti tulikua tunamjua kitambo.all in Diamond na Davido ni marafiki sana tu,kuliko watu wanavyochukulia hapa.
 
Jamaa liongo hili na lina chuki ,ka janamke lililoachika,halijui hata linasema nini,yani Diamond na davido wamefanya collabo ndio akaitwa kuja Fiesta?ama alikuja Fiesta ndio akakutana na Diamond wakafanya Number 1?eti miaka 26 Diamond unauhakika?na ishu ya diamond kutopanda jukwwani si hivyo unavyodanganya wewe,aliambiwa tuzo za waafrika zinatolewa sa 5 but wakazitoa sa 5 na hakupewa taarifa mapema,so mda huo hakuwepo jukwaani,.Umeelewa wewe mtu ?
 
nikisema anabebwa na unaija i mean nigerian music industry is so big n ina exposure kubwa worldwide so obviosly davido ana fans wengi. bongofleva mwisho rwanda tu hapo

ok. Nimekusoma
 
Ni ngumu sana kufanikiwa kimataifa kama Diamond anakuwa na wasaidizi kama wewe,anapaswa kutafuta watu watakaompromote kimataifa nyie mnaweza hapa bongo tu nje ya bongo ni zero kabisa
 
wewe bado una ajira kwa DIAMOND? Naskia umepigwa chini.

Haya tulia uandike kitu kinachoeleweka.
 
Acha hasira, davido kabeba tuzo za bet, mtv base. Full stop
 
Ivi wewe unaelewa unachokisema kweli?eti aliambiwa tuzo zinatolewa saa 5,bt wakazitoa saa 5 sasa kwa nini hakupanda jukwaani?
Sema kadanganya tuzo zilitolewa saa 2 na yeye aliambiwa saa 5
Kama ni kweli basi naona hao waandaaji walivojua davido kambwaga tena walimuambia ivo ili asije zimia bureee!!!!
 
ha ha boc wako anakupa dole nawe bla aibu unampiga pcha we shom** s**mbe tu ndomana ulipewa kichapo kikali na watoto wa mjini sura huna ila cha kushangaza unajita kifesi badala ya jisura , afu nahic una wazim hvy umeambiwa tuzo zinatolewa saa 5 na wakatoa sa 5 unategemea nn usipofika sa5 nahic team yenu ilishajua penye davido diamnd hakai
 
Ni ishu ya population na si popularity ndio maana davido akawin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…