franco15
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 518
- 208
Mkuu kweli wakenya wanapewa promo MTVbase, mfano msanii wa Gospel rock Daddy Owen wa kenya anapewa sana promo hadi 2012 alibeba tuzo ya Mtvbase.
mkuu ni kweli wakenya walikuwa wanapewa promo first tym kwasababu kwa mara ya kwanza tuzo za mtv zilifanyika kenya mpaka Amani akachukua best female na Nameless best male ndo vilichangia wao kupigwa MTV ila siku hizi hamna mkenya anayenusa pale.