Davido Vs Wiz Kid beef laanza upya

Davido Vs Wiz Kid beef laanza upya

Una remember say no be baba e no dey cure frog. I go see you later. Hii ni murder case ya kiingereza. Malkia mwenyewe akiwasikia Wanaijeria wanaongea hii lugha analia na kugalagala chini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi wameniacha ubungo na mabegi yangu sijui niende wapi. Attiiiiii una remember say no be baba ne dey... Nimeelewa cure frog tu na remember say.
 
Huna tofauti na mashabiki wa kiba,kila wanachokifanya wcb kwaajili ya kutengeneza maisha yao ya baadae,ila wao wanaona wanafanya hivo kwa ajili ya kushindana na kiba.
Kawaida yenu... msipomsikia kiba mnamtafuta aliko you love to hate
 
Ibrahim balogun - wiz kid

David adeleke adedeji - davido.












Team wiz kidayo here.
Holla up to my nigga
Wiz kid




Star boy.
 
Back
Top Bottom